Hahaaaa akikujibu nitag aise..HV mond ulishamuacha?
Mhhhhhh[emoji85]Watuwekee basi hata picha za viatu au sehemu ya miili yao kama wale wababe nifah na bold walikuwa maridadi sana.
Mimi yule valentine huwa namuona kama mama mtu mzima.
Mara ya mwisho ulikua nae bana weweJibu swali usinisakizie mie,umeulizwa wewe
WapiMara ya mwisho ulikua nae bana wewe
Sio kwa kuniteta hukumume wake ni mtata aisee akija apa sakayo anakuwa mpole kama sio yeye
Yuko kaziniHa ha ha haya Huyo mume / bwana yuko wap
N wewe uko wap?Yuko kazini
Kazini piaN wewe uko wap?
Wewe basi unafaa kabisa kuibwaKazini pia
HahahaWewe basi unafaa kabisa kuibwa
KwakoWapi
Mie ndio muizi mwenyeweHahaha
Nani anaiba muke ya mutu
WapiKwako
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mie ndio muizi mwenyewe
Usikimbie nna zawad yako ya bday[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]