Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Ivi Kumbe hadi mambo ya Instagram humu JF yapo . Sikuwahi kujua .
Ila JF haijakaa Romantic kiasii hicho mnapotaka kuipeleka .., huku tumezoea kuona watu wakidiacuss NONDO....Mambo Mazito.

Embu huo.
ujiinga mliouanza upelekeni instagram
Ndio maana kuna majukwaa mkuu kuna siasa michezo mahusiano n.k
 
aisee sakayo aliniambia sijaamini sijawahi kukuona ukiwa vile jaman kweli walikuuzi bamdogo ujue mpaka nikaogopa kukuquote lakini mwisho nikasema liwalo na liwe nikakuuliza
Niliona.. sema bamdogo yupo ok sasa hivi.

Cake yangu ipo wapi
 
Watu wengine ni machizi. Mtu haumjui mtu halafu unajifanya unamjua si ujuha huo.

Mbali zaidi unaanza kumpa sifa zisizo.
me ndio mana sasa hivi sitaki matani ya kijinga mtu anajifanya anakujua kumbe watu mnakutana majukwaan halaf anaenda kukuanzishia thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…