Nenda jamii inteligence.Ivi Kumbe hadi mambo ya Instagram humu JF yapo . Sikuwahi kujua .
Ila JF haijakaa Romantic kiasii hicho mnapotaka kuipeleka .., huku tumezoea kuona watu wakidiacuss NONDO....Mambo Mazito.
Embu huo.
ujiinga mliouanza upelekeni instagram
Sema waipeleke jukwaa husika tu. Ila iko poaIvi Kumbe hadi mambo ya Instagram humu JF yapo . Sikuwahi kujua .
Ila JF haijakaa Romantic kiasii hicho mnapotaka kuipeleka .., huku tumezoea kuona watu wakidiacuss NONDO....Mambo Mazito.
Embu huo.
ujiinga mliouanza upelekeni instagram
Hongera shemejDinazarde atakua anajua
Kwa Daby nshajitoa baada ya kutanguliza mguu mmoja nikaona kina kirefu hicho siwezi mwenzangu lol
[emoji1] [emoji1] poleWe nipe tu pole huyu Daby huyu
Sasa na uzee wangu huu ataniua kwa bp huyu[emoji1] [emoji1] pole
Kijana damu bado inachemka
Mie ananijua Nan?Jirani we list yako lini?
Mi nakwambia Daby ana lipepo si bureHaya mambo yalianza lini? Mbona hata sijui!!!
Nahitaji maelezo ya kimaandishi kesho kabla ya muda wa mwisho wa saa za kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hivi mtani kwanini hukunialika? au bado?