Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Nina shida basi. Shida yangu ni kukukaribisha halafu ujifanye mwenyeji kunizidi.

Mwenyewe ndiyo nimejua jana mzee hii couple nilikuwa sina taarifa nayo. Ila huwa sisusi.

Ha ha ha mzee ntafungua duka af ntakuwa maarufu kama mpemba vileee

Ha ha ha kususa najua huwez ili ki uhalisia ni kwel ulikua huijuiii???
Kuna vitu unasingziwa sio vya hv mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…