Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Ivi Kumbe hadi mambo ya Instagram humu JF yapo . Sikuwahi kujua .
Ila JF haijakaa Romantic kiasii hicho mnapotaka kuipeleka .., huku tumezoea kuona watu wakidiacuss NONDO....Mambo Mazito.

Embu huo.
ujiinga mliouanza upelekeni instagram
Muda siyo mrefu nitajiondoa JF maana imepoteza utamu wake kwa kuingiliwa na watoto wadogo.
 
Muda siyo mrefu nitajiondoa JF maana imepoteza utamu wake kwa kuingiliwa na watoto wadogo.

Hapo ni Senior Member tu upo hivi je ukiwa kama siye JF - Expert Member tuliotukuka utasemaje? Sasa Mtu mwenyewe hata huna impact yoyote humu JF hivi ukijitoa unadhani Sisi Great Thinkers tutapungukiwa na chochote? Hivi kama tu Total JF Members wanafikia 399,074 ukijitoa Wewe Popoma / Pumbavu mmoja na tukabakia Great Thinkers 399,073 kuna athari yoyote ya Kimantiki kweli hapo? Siku nyingine muwe mnafikiri kwanza kabla ya kuandika vinginevyo mnatuchosha na aina hii ya Upuuzi / Upupu wenu.
 
Kuna watu wanachekesha kama sio kushangaza

Ndo hao wanafanya maisha kua magumu kwakucomplat mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…