Utoto bana !!! sisi tulikuwa tunakunja ka kidole ka mwisho ka mikono tunakunjia kidole kinachofata afu tunashika kwenye nyonyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu tunasema nyonyo yangu haijawai nyonyesha tunawaroga msifunge[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16] au tunachimba kashimo kwenye lango la mpinzani wetu tunaweka kufuli.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] half time tunahama nayo.
Jamani hata sasa hivi nikiwa naangalia Mpira hasa team yangu bado nafanyaga hivyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hamna lolote wanafungwa wakicheza vibaya.