Rport ya Bank ya dunia nikuwa kwa wik moja iliyo pita idadi ya watu walio ambukizwa ugonjwa wa Ebola wamefikiaa mia 7 (700), na kwa idadi ya watu waliopoteza maisha yafika 2600 . Tuungane ktk harakat za kuilinda nchi yetu "IJUE EBOLA CAMPAIN" tembelea ukurasa wetu wa facebook na website yetu ijueebola on Strikingly
Together we Can.
Weka maelezo yote hapa tufaidike wote, sasa mambo ya facebook tena wengine hatutumii facebook. Copy & Paste maelezo yote hapa kisha weka link ya source.