LegalGentleman
Member
- Oct 26, 2021
- 99
- 294
HAKI YA KUZIKA,
kaka wa Antigone Polyneices alikuwa kwenye kupambania miliki ya Thebes. Mfalume Creon akatoa amri kuwa asizikwe kwasabbu marehemu alimpinga. Antigon akamzika.
Alipoulizwa na mfalume kwanini amepinga amri halali ya mfalume alijibu; HAKI YA MTU KUZIKWA NI HAKI YA ASILI NA HAIBADILIKI HATA WEWE MFALUME HUWEZI KUIPORA NA INATOKA KWA M/MUNGU SIO BINADAMU.
Mfalume akatoa amri kuwa Antigone azikwe akiwa hai na baadae akabadilisha amri yake lakn kwa bahati mbaya alimkuta Antigone kajinyonga.
SEVEN AGAINST THEBES. Moja ya vyanzo halali vya haki za binadamu. Mhe January umeongea vzr sana kwa kuomba kutoa heshima za mwisho kwa wenzetu waliotangulia.
Follow me on Twitter LegalGentleman