Ijue heshima ya wakwe ukienda kuoa kwa Wanyaturu

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491

Hii ni kiko ya Wanyaturu inaitwa "IFUNDE" ambayo ni mchanganyiko wa Tumbaku na Uwele au Mtama. Lina heshima yake, wanapewa wageni (hasa wakwe) au wakienda kuhani msiba. Wanasema 'kupiga Sayuu' na ni heshima kubwa Kinyaturu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…