Ijue Hifadhi ya Taifa ya Mlima Udzungwa

Funa the Wild

Senior Member
Joined
Aug 1, 2022
Posts
167
Reaction score
282
Hifadhi ya taifa ya mlima Udzungwa inapatikana ndani ya mkoa wa Morogoro, Tanzania. Ni hifadhi ilivyobarikiwa kuwa na mandhari hadhimu yenye kuvutia.


Ni hifadhi ambayo ina upekee wake, ni hifadhi ambayo ina viumbe ambao hupatikana Udzungwa Pekee ulimwenguni kote kitalaamu hufahamika kama Endemic species mfano Mbega wekundu wanaotambulika kwa jina la Iringa Red Colobus.

Ni hifadhi yenye maporoko ya maji yenye kuvutia machoni. Ndani ya hifadhi hiyo kuna maporoko makubwa yenye urefu wa mita 170 yanayofahamika kwa jina la Sanje Waterfalls.

Hukifika Udzungwa hutojutia zaidi utatamani uendelee kusalia hapo maana pamebarikiwa uwepo wa mandhari nzuri yenye kukupatia hewa safi, utaogelea, Kupanda milima na kuona wanyama mbalimbali.

Njooni tutalii pamoja, Utalii ni wetu sote.
 

Attachments

  • images (15)_1710166179231.jpeg
    83.7 KB · Views: 6
asee fanya ufike nilienda msimu wa baridi na wife tukiwa na mtoto mmoja tulienjoy sana.
ila kama huna stamina utateseka kwenye tope tu
Nataka niende hadi Ruaha (Kilombero Sugar Company) ndio nifikie pale, hafu ndio nifike Udzungwa. Nitakua nimekosea au nikalale Kijiji cha Sanje? Nitakua na private car. Ila sio 4WD ya kuingia porini itaishia kwenye rami. Ushauri.

Ningependa iwe day trip tu. Coz napenda kwenda solo.
 
Ruaha national park?
 
Ruaha national park
πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…