Ijue Historia ya mchawi mmoja toka huko Kilombero - Morogoro

mila na tamaduni zipo kila kona ya tanzania maajabu na ayo unayo yaadisia yapo ila umekosea kidogo mimi apo ulipo pataja ndio hme alionyesha maajabu mengi sana ambayo ata ujayataja
 
nikipa muda nitaadisi maajabu mengne aliyo fanya pia nitaadisia maajabu ya kolelo na mtaalamu isa mumba kutoka mbalangwe matombo na maaja yake
 
Nasikia ufundi wote huo ulikuwa unatokana na kuchanganya dawa zitokanazo na miti
 
#ZOPPA TULETEE MAAJABU TUNAKUSUBIRIA KWA SHAUKU KUBWA SANA....!UTAKAPOANZA SIMULIZI NAOMBA NI TAG,I WANNA LEARN MORE AFRICAN CULTURE MYTHS.
 
Nasikia ufundi wote huo ulikuwa unatokana na kuchanganya dawa zitokanazo na miti
That is the wonders of this science,mixtures of plants powders,this show plants has certain inducives property...! so amaizings.
 
Wachawi wa kiafrica hovyo Sana wenzao wanatumia uchawi kutajirika wanapata kodi na ajira weusi wao ni kusaka umasikini
 
Dunia ina mambo
 
Imesoma mwanzo hata mwisho, sijaona uchawi wowote, nilichokiona ni iman potofu kuwa hakuna ajali
 
Nimeishi tarafa ya Mtimbira katika wilaya ya Malinyi Kwa miaka mitatu,hakika uliyoyasema yanaukweli Kwa asilimia zote.Kuishi na jamii ya wapogoro na wandamba kumenifanya nijue mengi sana ,hakika sitaacha kujifunza mengi kutoka Kwa jamii tofauti tofauti hapa nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…