Ijue historia ya Mji wa Tukuyu-Mbeya


Mwalimu Mwambapa, baba mzazi wa Owen Rhodfrey Mwambapa, alikuwa

Mwalimu Chonde Mwambapa, baba mzazi wa Owen Rhodfrey Mwambapa, alikuwa ni mjomba wa mwandishi wa vitabu Godfrey Mwakikagile ambaye alisoma Kyimbila Primary School miaka ya hamsini; miongoni mwa walimu wake pale, Eslie (alikuwa anaitwa Esili) Mwakyambiki.

Mama ya Godfrey Mwakikagile, Syabumi Mwambapa, alikuwa ni mdogo wa Mwalimu Chonde Mwambapa. Syabumi alisoma Kyimbila Girls' School miaka ya arobaini Mary Hancock alipokuwa mwalimu na mkuu wa shule hiyo.

Pia Mchungaji Asegelile Mwankemwa wa Kyimbila Moravian Church alikuwa ni mjomba wa mwalimu Chonde Mwambapa na dada yake Syabumi, mama mzazi wa Godfrey Mwakikagile. Asegelile Mwankemwa alikuwa ni mdogo wa mama yao mzazi.

Kaka yao, Amos Mwambapa, naye alikuwa mwalimu kama mdogo wake Chonde Mwambapa. Amos Mwambapa alikuwa mwalimu, pia head teacher, Masebe Primary School. Chonde alikuwa mwalimu Lutengano.

Head teacher wa Kyimbila Primary School, Samuel Mwaijande, alikuwa ni mume wa binamu yao, Miriam Mwankemwa, mtoto wa Asegelile Mwankemwa.

Nimeipata historia hiyo mtandaoni nilipokuwa natafuta maandishi mbalimbali kuhusu Godfrey Mwakikagile na vitabu vyake kuhusu Ghana pamoja na historia yake ya uandishi wa vitabu.

Soma zaidi hapa chini:

Godfrey Mwakikagile: Eurocentric Africanist? - Intercontinental Book Centre

Godfrey Mwakikagile - Wikipedia
 
Asante kwa kufuatilia historia hiyo.
Bahati nzuri wengine nimewaina nikiwa mdogo , kama nwl Mwambapa, mwl Mwaijande, mwl Mwakyambiki.
Na miaka hiyo mzee Mwankemwa akiwa mhubiri maarufu mwenye heshima kubwa Kyimbila.
 
Ninakumbuka ndege ya kampuni ya WENELA ilikuwa ikija Mbeya kuwachukuwa na kuwarudisha wachimba migodi.
 
Hatimaye nimefahamu babu zangu walifikaje kwa John (Johannesburg). Kumbe safari zilianzia Neu Langernburg!
 
Hapa unge screenshot ramani kutoka google earth ingenoga sana
 
Haya mambo ndiyo aliyapenda yaandikwe Mwendazake na siyo Mwanamtapa epire
 
Nimefika Tukuyu,pana hali nzuri sana ya hewa.
Umeandika historia nzuri sana kwa mji wa Tukuyu.
Mwaka 1993 Nilikunywa "Power Na.1" pale stand,kulikuwa na baa inaitwa "Three in one".Nitarudi tena Tukuyu
Tukuyu kwa kweli ni pazuri. Ukipata bahati ya kufika Mbeya hakikisha unaenda Tukuyu kutembea na kuona mambo yaani sightseeing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…