Ijue kampuni hii ya kitapeli dar na kigoma.

Buhaya boy

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
88
Reaction score
16
Wanajamvi,
Kuna kampuni ya kitapeli iitwayo BUTAHE SECURITY COMPANY LTD.Hii kampuni inasemekana mwanzo ilikuwa na malindo UNHCR,GTZ,W.VISION,IRC na taasisi nyingine za kushughulikia wakimbizi.Lakini kutokana na utapeli wake kwa walinzi wa kampuni hiyo imefukuzwa na mashirika yote isipokuwa INTERNATIONAL RESCUE COMMITTEE (IRC).Habari kutoka kwa walinzi wa Butahe security wanasema bosi wao ambaye ni mstaafu wa jeshi la polisi Tz hawalipi mshahara hadi miezi 2 ukioji unafukuzwa na financial manager ambaye ni mtoto wa bosi huyo aitwaye DONATRA BUTAHE 0765835983.Na boc wa kampuni ni CLEOPHACE BUTAHE 0753961190.Ajabu wote walipopigiwa wamekiri kuwa na malindo IRC DAR na IRC KIGOMA nakusema wapo walinzi ambao bado hawajapata mshahara wa July hadi sasa August.20.Nakusema yeye ni mstaafu wa polisi hakuna ambaye anaweza kumtishia alipoulizwa kama walinzi wakimshitaki itakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…