pakamwam
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 516
- 654
kansa ya korodani huchangia kwa asilimia moja ya kansa zote zinazoathiri wanaume
kuna dalili chache sana mpaka kansa inapofikia kiwango kikubwa, ndio inaypfanya utambuzi mapema uwe muhimu.
" lance Amstrong aligundulika na hii kansa akiwa na miaka 25 na alichofanya ni kuhifadhi mbegu na kuanza matibabu na mpaka sasa ni baba wa watoto watano"
dalili kubwa na uvimbe usio na maumivu kwenye korodani. ikifikia stage kubwa unaweza kuhisi maumivu kwenye mgongo, kupata tabu wakati wa kukojoa na hata kupumua kwa tabu
vipimo ni damu, ultrasaundi na kinyama
kutegemea tu na stage wakati mwingine korodani zote zinaweza kuondolewa na kuwekewa za bandia kwa ajili ya matibabu na mbegu zako zinaweza kuhifadhiwa kwa ajiliya matumizi ya baadaye
kwa sababu hii kansa inaathir vijana sana. niko kwenye maandalizi ya kuomba kibali cha kuzungukia vyuoni kuelimisha vijana wadogo kuhusu huu ugonjwa na dalili za mapema
visababishi vikubwa vya kansa hii ni
1.historia ya familia kuwa na ugonjwa huu
2. kuvuta bangi
3.cryptorchidism (kitendo cha kukosa korodani moja au mbili zote)
4. ulaji wa vyakula vya maziwa sana
5.urefu pia huchangia
6. na white race ni risk factor pia
cha smsingi hapa ni kwamba ukiona uvimbe usio na maumivu kwenye korodani muone daktari kamili sio herbalist
ugonjwa unatibika ukigundulika mapema
tuonane kesho kwenye male breast cancer