Ijue kansa ya korodani ( testicular cancer)

pakamwam

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
516
Reaction score
654
kansa ya korodani huchangia kwa asilimia moja ya kansa zote zinazoathiri wanaume
kuna dalili chache sana mpaka kansa inapofikia kiwango kikubwa, ndio inaypfanya utambuzi mapema uwe muhimu.
" lance Amstrong aligundulika na hii kansa akiwa na miaka 25 na alichofanya ni kuhifadhi mbegu na kuanza matibabu na mpaka sasa ni baba wa watoto watano"

dalili kubwa na uvimbe usio na maumivu kwenye korodani. ikifikia stage kubwa unaweza kuhisi maumivu kwenye mgongo, kupata tabu wakati wa kukojoa na hata kupumua kwa tabu
vipimo ni damu, ultrasaundi na kinyama

kutegemea tu na stage wakati mwingine korodani zote zinaweza kuondolewa na kuwekewa za bandia kwa ajili ya matibabu na mbegu zako zinaweza kuhifadhiwa kwa ajiliya matumizi ya baadaye

kwa sababu hii kansa inaathir vijana sana. niko kwenye maandalizi ya kuomba kibali cha kuzungukia vyuoni kuelimisha vijana wadogo kuhusu huu ugonjwa na dalili za mapema

visababishi vikubwa vya kansa hii ni
1.historia ya familia kuwa na ugonjwa huu
2. kuvuta bangi
3.cryptorchidism (kitendo cha kukosa korodani moja au mbili zote)
4. ulaji wa vyakula vya maziwa sana
5.urefu pia huchangia
6. na white race ni risk factor pia
cha smsingi hapa ni kwamba ukiona uvimbe usio na maumivu kwenye korodani muone daktari kamili sio herbalist
ugonjwa unatibika ukigundulika mapema

tuonane kesho kwenye male breast cancer
 
Nimetoka kusoma muda huu aina hii ya Cancer especially Seminoma.....


Ila good news inatibika kwa 95%

Inawapata sana vijana kuanzia umri wa miaka 25-40
 
Kwa hiyo nipunguze unywaji wa maziwa?? Mbona sasa kila kitu ni tatizo duniani?? Out of all things, Maziwa kweli!!? Dah!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo namba 5 inakuwaje mkuu? Embu fafanua kidogo....umenishtua sababu hiyo risk factor inanihusu.
 
Hapo namba 5 inakuwaje mkuu? Embu fafanua kidogo....umenishtua sababu hiyo risk factor inanihusu.
levels of insulin-like growth factor I (IGF-1) in the bloodstream. IGF-1 is a potent stimulus for cancer cell growth. High IGF-1 levels are linked to increased risk of prostate cancer and breast cancer.
 
Kwa kweli cuasal telationship hijaelezewa lakini kwenye tafiti ndio imeonyesha hivyo.

"
The study was carried out by researchers from Yale University and the National Cancer Institute in the US. It was published in the peer-reviewed British Journal of Cancer. No sources of funding are given.
The study was well-reported by BBC News, The Independent and the Daily Mail. They all explain that any potential link between height and testicular cancer risk is not fully understood and that individuals actually have a low risk of developing the disease. The BBC helpfully quotes experts as saying that the absolute risk for men in the UK is low - only one in every 210 men will develop the disease. The newspapers also quote the researchers, who say that family history is a more important risk factor. The Independent’s headline might be considered more alarming than is justified, considering the balance of the rest of the report."

Hapo namba 5 inakuwaje mkuu? Embu fafanua kidogo....umenishtua sababu hiyo risk factor inanihusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…