Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

Kwa Nchi ka hovyo kabisa na ka ubaguzi uliopindukia! Eti no,6 na 7 marufuku! kwanza sitaki kwenda huko.
Wewe kapuku kenya inakushinda ndo utaweza brunei ?eti kanchi kahovyo ama kweli nyani haoni kundule ...wewe upo hapa kwenye nchi ambayo mnafanywa anavyotaka ngosha hamko huru ,jela nje nje njaa kali uchumi unadorora kujuana kumeshika hatamu halafu unabana pua hapa bruneiiiiii sendi mxcuuuu ,subiri kutekwa tu na watu wasiojulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko hakuna night bussiness aisee na mwanamke amedidimizwa sana. Sheria za kipuuzi sana hata hapafai kwenda
Kwenu nyinyi si kuna haki sawa ,mwanamke anaruhusiwa kuoa mwanamke mwenzie ,mashoga ruhusa kupanda madhabahuni ,kutembea uchi kwenu ndo maendeleo, mmekuwa watumwa washetani weupe nyinyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana rasilimali gani zinazowapa utajiri huu wa kutisha ?
 
Inavutia sana kwa kweli,Tanzania ilipaswa tuige mfano huo angalau tupate ushauri,tatizo marafiki zetu ndio kama huyu bwana


 
Hiii imekaa kishidashida za bongo! hali ya kuendekeza ulaji na kucheza bao tu! unasubiri kufa;

Badala ya kufikiria ki Dunia zaidi

Hizo ni shida sana hizo wewe hata hutoki jasho, mtu gani wewe, huonji, hujui,huoni, umaskini hata kidogo ukafanya mlingano sawia, hapo mtoa mada siono issue issue, wana shida hao mtu uoe kwa jasho, ujipongeze kwa kumpiga mama naniiliu mashine ya uhakika baada ya kazi ,


Ukifanya kazi za shuruba unachoma mafuta yote mwilini, inabaki misuri tu. mashine ina kakamaa!

Then ulime shamba ekali kumi kwa jembe la mkono, uhangaike kutafuta soko la mazao yako, uki pata mapene ya kutosha then tumia na mkeo na watoto wakushukuru.toa misaada kwa maskini.Zaka na sadaka kanisani au msikitini.
Watu tuna tafuta maisha Mars kwa gharama kubwa, wewe unataka kuoa bure. haya hao wasoma bure wamegundua nini hapa Duniani cha maana!

Dezo za mdrasa hizi hazifai, na nyie wana JF Mna shangilia hii dezoo tuuuuuuu lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…