Ijue Mazda CX 5, CC 2000

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001

MAZDA CX 5
Cc 2000
Injini hii inakuja na technologia ya SKYACTIV
ambayo hufanya kazi kama vvti ,lakin ni zaidi ya vvti na kuifanya itumie mafuta machache kwa mwendo mrefu na kutoa nguvu ilio kusudiwa

Full tank nilita 54
Inatumia km 14.2 kwa lita moja ,
SKYACTIV G Ina tumia oil 0W-20/5W-30 lita 4.2 na top ni lita 4.5 sasa wewe weka lita 5 kama hujaipark hii gari maana vyuma vitasagika
Hydraulic lita 7.8 ya Mazda

Inagia 6 automatic
CVT
Inachanganya kutoka speed 0-100 kwa sekunde 10.2
Yani inatumia sekunde 10 kutoka speed 0 mpaka mia 100

Break zake ni za technologia ya hali ya juu ukiacha na na ABS ambayo wengi tuna ifahamu kuna vitu vipo humu ambavyo ni

(EBD) Electric Breakforce. Distribution
Wakati unaendesha gari hii ikiwa una kanyaga break mfumo huu kazi yake niku hakikisha kuwa hakuna tairi ina kamata break Zaid ya nyingine
(CBC) Cornering Break Control

Huu ni mfumo ambao uligunduliwa na mainjinia wa kampuni ya BMW ndio wakawauzia formula Mazda
Wakati unaendesha gari ilikata kona kwenye kila taifa kuna sensor ambayo kazi yake nikufuatilia tair hasa za mbele kuhakikisha kuwa hakuna inayo teleza kuikanyaga break kwenye kona gari haiwezi dondoka au kuhama barabara kwa ku drift
EBA....Electronic Break Assist
Hii hufanya kazi yakuhisi pale unapo simama ghafla huku zaidi kuappy nguvu kwa wingi na gari husimama ndani ya sekunde
Gari hii iko juu kuifanya iweze kupita hata katika sehem zenye changamoto

Speed yake ni 180 maximum speed na top speed yake ni 200
Gia box yake ina clutch mbili tu pamoja na drive chain ambayo huipa mzunguko mkali wakati iko kwenye mwendo na hubadilika shep kulingana na mwenendo
Gari hili ni SUV
milango 5 kama uwezo wa kubeba kg 500
 
Kumbe inatumia CVT pia? Vipi cvt yake haina shida kama za nissan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…