Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Majimaji ilikuwa tamu ni ya miaka ya 80 katikati hiyo ya kina selestine (sikinde )mbunga kina Peter mhina ulikuwa mkoba huu nyanda isihaka majaliwa beki Abdul ntila na swamli ayubu (beki mstaarabu octovean mrope akina hamza maneno na dadi phares walikuja baadaeDo umenikumbusha mbali, Enzi hizo pia kuna MajiMaji ya Ruvuma.
Kule tulikua na Ushirika, na CDA Dodoma.Majimaji ilikuwa tamu ni ya miaka ya 80 katikati hiyo ya kina selestine (sikinde )mbunga kina Peter mhina ulikuwa mkoba huu nyanda isihaka majaliwa beki Abdul ntila na swamli ayubu (beki mstaarabu octovean mrope akina hamza maneno na dadi phares walikuja baadae
Usisahau Pamba ya Mwanza.Aisee kuna Mecco ya Nyakato Mwanza,sijui yenyewe vipi,wajuzi?
Chini ya uongozi wa Mkuu wa Mkoa GamaDo umenikumbusha mbali, Enzi hizo pia kuna MajiMaji ya Ruvuma.
Mecco (ambayo ndio waliokuwa wamiliki wa team ya mecco) ilikuwa kampuni ya ujenzi ya serikali ambayo makao makuu yake yalikuwa mbeya.Miaka ya mwanzoni mwa themanini walikuwa wanajenga barabara za mwanza,kuanzia buzuruga stand hadi buzuruga shuleni, mpaka nyakato sokoni.Na kambi yao ilikuwa hapo nyakato (mecco) .Hivyo jina la mecco lilitokana na kambi ya hii kampuni ya ujenzi.Aisee kuna Mecco ya Nyakato Mwanza,sijui yenyewe vipi,wajuzi?
na Toto Africans,hahhaa Pamba imeshindwa kabisaUsisahau Pamba ya Mwanza.
nasikia kuna kipindi Pamba iliwahi kuwa kali kuliko Simba,au stori tu za wadau wa Pamba?Pamba ya Mwanza ilitoka kushinda 12 na ile Timu ya shelisheli ilipoenda Mbeya na Mecco walifungwa 3 kwa moja mechi za mwisho mwisho wakina marsha kabla ya kwenda Simba..kipindi hicho kulikua na Mpira
Nimesoma Nundu,nilikuwa napita hiyo barabara kila siku( hiyo barabara nimetembea KM nyingi kuliko zote duniani) lkn sikuwahi kujua the story behind,live long JFMecco (ambayo ndio waliokuwa wamiliki wa team ya mecco) ilikuwa kampuni ya ujenzi ya serikali ambayo makao makuu yake yalikuwa mbeya.Miaka ya mwanzoni mwa themanini walikuwa wanajenga barabara za mwanza,kuanzia buzuruga stand hadi buzuruga shuleni, mpaka nyakato sokoni.Na kambi yao ilikuwa hapo nyakato (mecco) .Hivyo jina la mecco lilitokana na kambi ya hii kampuni ya ujenzi.
Na Nyota Nyekundu ya wauza Mitumba mtaa wa Congo.Do umenikumbusha mbali, Enzi hizo pia kuna MajiMaji ya Ruvuma.
Pamba ilikuwa kiboko mkuu, walikuwepo watu kutoka morogoro Reli hiyo kiboko ya vigogo, bila kuisahau ushirika ya moshi, milambo ya tabora, timu za mashirika zilikufa na mashirika yake, RTC kigoma, RTC shinyanga, ujenzi rukwa, CDA Dodomana Toto Africans,hahhaa Pamba imeshindwa kabisa
nasikia kuna kipindi Pamba iliwahi kuwa kali kuliko Simba,au stori tu za wadau wa Pamba?
Do Reli ya Morogoro niliisahau asante mkuu.Pamba ilikuwa kiboko mkuu, walikuwepo watu kutoka morogoro Reli hiyo kiboko ya vigogo, bila kuisahau ushirika ya moshi, milambo ya tabora, timu za mashirika zilikufa na mashirika yake, RTC kigoma, RTC shinyanga, ujenzi rukwa, CDA Dodoma
Mimi buzuruga mzawaNimesoma Nundu,nilikuwa napita hiyo barabara kila siku( hiyo barabara nimetembea KM nyingi kuliko zote duniani) lkn sikuwahi kujua the story behind,live long JF
CDA watoto wa nyumbani ya kina Charles mgodo (kijiko )na ushirika ya kina often Martin jaffar kiango abuu na fadhili juma kina Andrew kabisama willy Martin Steven nyenge mahmood abbas siku zimekwenda wapI?Kule tulikua na Ushirika, na CDA Dodoma.
mwananchi,born and raised mkuuMimi buzuruga mzawa
Asante kwa kumbukumbu nzuri. TFF hawana records, poor them.Pamba ya Mwanza ilitoka kushinda 12 na ile Timu ya shelisheli ilipoenda Mbeya na Mecco walifungwa 3 kwa moja mechi za mwisho mwisho wakina marsha kabla ya kwenda Simba..kipindi hicho kulikua na Mpira