Nilikuwaga mdogo mdogo std 5 kipindi hicho, mechi kubwa kubwa zote mama yangu (RIP) alikuwa ananipeleka uwanjani, kama kabanwa na majukumu ananipeleka hadi getini ananikabidhi kwa polisi yeye anarudi kuendelea na majukumu yake, enzi hizo nchi ni salama hakuna ubakaji wala ulawiti wa watoto