Uchaguzi 2020 Ijue mikoa ya ushindi kwa CCM

Ndugu Yangu Yericko Nyerere Imfikie Hii.....

Yale Mafuriko Ya Lowassa Yaliyomsomba Mwenyewe Yaliwapa Kura 6M.....
Uchaguzi Huu Kura Hizo Sizioni......

Tundu Lissu Akifikisha Kura Za Ujumla 3M,Mimi Nita......

Thubutuuuu......
Utafi....?
 
Wapi kuna njaa nchi hii ?
Nchi nzima Hali ya wengi ni ngumu kimaisha sababu ya sera mbovu za kuwasomesha watz namba ili wawe masikini ili watawaliwe kirahisi.
Ujaona wasanii Jana wamejazana wanafanya ibada za kusifu sababu ya njaa
 
Lakini Sayansi ya Siasa inaweza badilishwa pia na kudra na Bahati! Au tukio ambako halikutarajiwa katika mazingira ya kawaida!
Tukio la ukatili alilofanyiwa Tundu Lissu litaibadilusha nchi hii! Iwe leo,kesho,kesho kutwa au mtondogoo !
Hamna kura za huruma jamaa akaze msuli tu
 
Wewe ndio mburula hujui kitu, nchi hii haiwezi kuingiza Ikulu watu wahuni kama huyo mgombea wa EU. Upinzani bado sana kajipangeni upya.
Akili zako za kale kaam jina lako lilivyo unafikiri dunia ya xaiv ya wajinga kama ww
 
Funny fact :
CCM capitalize region with low education and population as well, Meanwhile opp are well understood in educated areas and towns
But the game is not fair
Bring fact to support your case. Which are those "educated areas"? What criteria you use to consider an area as educated one? Bring up figures that support you idea that opposition is understood in "educated areas"? One thing I would advise you is that avoid generalisation when trying to drive you argument that is not backed up with tangible facts
 
Funny fact :
CCM capitalize region with low education and population as well, Meanwhile opp are well understood in educated areas and towns
But the game is not fair

we ulishawahi kuona watu wenye akili timam wanashabikia cdm? vichaa vichaa tu ndo wamejaa uko! na wengine wameamua kuwakimbia
 
Du ....kupanua goli
 
we ulishawahi kuona watu wenye akili timam wanashabikia cdm? vichaa vichaa tu ndo wamejaa uko! na wengine wameamua kuwakimbia
Kwa hiyo Mwaka 2010 kulikuwa na vichaa M3 Mwaka 2015 M.6!
 
Ndugu Yangu Yericko Nyerere Imfikie Hii.....

Yale Mafuriko Ya Lowassa Yaliyomsomba Mwenyewe Yaliwapa Kura 6M.....
Uchaguzi Huu Kura Hizo Sizioni......

Tundu Lissu Akifikisha Kura Za Ujumla 3M,Mimi Nita......

Thubutuuuu......
Toa ahadi za kiwehu halafu ukiombwa "thumni" uanze kujikunakuna na kung'ata majani
 
Sijui RUVUMA tunashida gani tunalima sana tunalisha nchi lakn maendeleo ya MTU mmoja mmoja n duni yenye kujaa ufukara lakn hatubadiliki CCM Wanatugeuza wayakavyo wao SIJUI MUUJIZA GANI UJE KUONDOA JINAMIZI HILI
 
Du ....kupanua goli
Wametuvunja moyo,wala chama hakijaleta mikakati ya kuwabaini watu sampuli hiyo na kuwafukuzia mbali,kabla hawajawania nafasi za kisiasa.
Hao watoto wa mama tumewachoka.
 
Kwa hiyo Mwaka 2010 kulikuwa na vichaa M3 Mwaka 2015 M.6!


smaanishi vichaa in terms of akili but kufanya maamuzi, we ona wafuasi wa cdm, expecting good life from mbowe and his team, mtu ambae mpaka uongozi hata kuachia
 
Wewe ni mgonjwa wa akili,marekani kuna chama chenye umri kama chadema?!,au uingereza,umri wa chama si hoja,na km hoja ni umri wa chama tusajiri chama kipya cha wiki moja,
 
Usiwatukane watu.

Kwa kadiri ya utafiti wa TWAWEZA, CCM inaungwa mkono zaidi na watu wajinga na wazee.

Kuweka orodha hiyo ambayo CCM itashinda, unamaainisha mikoa hiyo ina wajinga wengi kuliko watu walioelimika. Hili ni tusi kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna chochote cha maana ambacho awamu hii kimefanyika kwa mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Katavi.

Njombe mpaka vijijini, trna wana-CCM, wanatamka wazi kabisa, hawamtaki Magufuli. Sababu zao zipo wazi kabisa. Kuzuia kuuza mahindi nje ya nchi na kuharibu uhusiano na Kenya kiasi cha mbao zao kukosa soko la uhakika.

Kutokana na amri aliyoitoa ya kuzuia mahindi kuuzwa nje ya Tanzania miaka 3 iliyopita, mwaka uliofuatia wakulima walikosa kabisa soko la mahindi yao mpaka kufikia gunia la kilo 100 la mahindi kuuzwa kwa sh elfu tisa (9,000). Wengi wa wakulima, mpaka leo wameshindwa kulipa mikopo kwenye taasisi za fedha, na wengi wamefilisiwa mali zao walizowekea dhamana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Funny fact :
CCM capitalize region with low education and population as well, Meanwhile opp are well understood in educated areas and towns
But the game is not fair
Pure Nosense,hao wenye elimu ndogo ni wepi na wenye elimu kubwa ni wepi ila mwenye akili timamu hawezi kumpigia kura lisu
 
Kimbilio co
Ccm inabadilika kulingana na wakati ndio maana leo imekuwa kimbilio la vijana wengi..

Wamejuwa tatizo sio ccm ila ni uongozi.

Suala la kupotea hiyo ni kanuni tu
kimbilio coz hajira hamna mtaani, biashara za kutoka ni zile zenye mtaji mkubwa kabisa
 
Funny fact :
CCM capitalize region with low education and population as well, Meanwhile opp are well understood in educated areas and towns
But the game is not fair
Kwa lugha hii hujanitendea haki mimi darasa la saba c
 
Kimbilio co
kimbilio coz hajira hamna mtaani, biashara za kutoka ni zile zenye mtaji mkubwa kabisa
Fursa ziko kibao mtaani unataka serikali ikupe pesa bila kufanya kazi? Kazi ya serikali ni kukutengezea mazingira mazuri kama kukupa huduma ya maji, umeme, barabara, elimu na n.k. Tatizo vijana hamtaki kubadilika kutokana na wakati hamuwezi kujiongeza unakuta kijana amemaliza chuo anasubiri ajira miaka nenda rudi bila mafanikio anabaki kuilalamikia serikali na tukimuuliza je wewe umeifanyia nini nchi hii yaani mchango wako katika nchi hii ni nini? hakuna. Kuna kijana mmoja alimaza darasa la saba akaja kwangu kuniomba msaada nimlipie ajifunze mambo ya ufundi magari katika gareji moja nikamuuliza ukishajua unataka ufanye nini? akaniambia "nikijua vizuri nataka nifungue gereji yangu na si kuajiriwa". Baada ya kujua vizuri ufundi kweli akaanzisha gereji yake na sasa ameajiri vijana tisa, angekuwa na mawazo ya kuajiriwa angekuwa anatafuta ajira hadi hivi sasa. Darasa la saba anakuwa na akili ya kukabili changamoto kuliko mhitimu wa chuo kikuu ni tatizo kubwa sana kwa wahitimu wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…