Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Katika milango ya fahamu 5 ya binadamu ambayo ni
1. Masikio
2. Ulimi
3. Macho
4. Ngozi
5. Pua
Mlango wa fahamu wa sikio ndio mlango pekee unao chelewa kufa(kutofanya kazi) baada ya binadam kufa.
[emoji117] Binadamu akifa sikio huendelea kufanya kazi yaan marehem ""HUENDA"" huendelea kusikia .
[emoji117]Milango yote hufa na binadamu akifa hawezi;
Kuona
Kuhisi
Lakini huendelea kusikia kwa sababu mlango wa fahamu wa sikio huchelewa kufa kwa haraka.
Kiimani watu huwalilia wapendwa wao nakuomba misamaha au kuwaombea kwa kuamini wanasikia.
Lakini kisayansi inathibitisha hivyo kuwa sikio huchelewa zaidi kufa hadi mtu atakapo fukiwa au kufunikwa kwenye jeneza ndipo masikio huacha kufanya kazi.
Pia masikio huendelea kufanya kazi ndani ya siku 5.