Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,814
- 2,738
natamani kama ungali3ndelea kushare na aina nyingine kulingana Mungu alivyo kujaalia kuijua ili kusaidia watu twasiojua matumizi ya mimea inayo wazunguka huku wakiangaika na matatizo ya kiafya chungu nzima bila suluhu.karibuni
si kila mtu ana kibali cha kuchuma au kutoa izo dawa na hpo ndipo tatizo lilipo ama anzia kama hujui unaweza sema ni ushirikina ila dawa za miti shamba zina mashatti na hatua tofauti kulingana tatizo husika.Dawa za mitishamba ni nzuri tatizo ni moja tu kiwango sahihi cha matumizi kwa Tatizo husika, ubaya nikwamba sisi kwenye kufanya tafiti tuko nyuma sana. Badala yake mitishamba imegeuka kilio kwa kuharibu figo na main ya watu huku wengine kutopona kutokana na kutojua kiwango sahihi cha matumizi
search nyuzi zangu ,kila ugonjwa nimeshare kwa uzi wake ili anayejifunza apate kuuliza na kujibiwa ili kujifunza zaidi. Maarifa ukishare yanaongezeka, Pesa uki-share zinapunguanatamani kama ungali3ndelea kushare na aina nyingine kulingana Mungu alivyo kujaalia kuijua ili kusaidia watu twasiojua matumizi ya mimea inayo wazunguka huku wakiangaika na matatizo ya kiafya chungu nzima bila suluhu.
Uko sahihi. So mitishamba pekee, hata ARV ziko orodha ya kuharibu figo baada ya pombe. Ndo maana tukasomea MUHAs na nje ya nchi ili kuwa na weledi ikiwemo toxicology ( kiwango cha sumu), efficacy (ufanisi), phytochemistry (viini dawa vilivyopo kwa kila mmea)Dawa za mitishamba ni nzuri tatizo ni moja tu kiwango sahihi cha matumizi kwa Tatizo husika, ubaya nikwamba sisi kwenye kufanya tafiti tuko nyuma sana. Badala yake mitishamba imegeuka kilio kwa kuharibu figo na main ya watu huku wengine kutopona kutokana na kutojua kiwango sahihi cha matumizi
Matatizo ya Figo anza kulaumu pombeDawa za mitishamba ni nzuri tatizo ni moja tu kiwango sahihi cha matumizi kwa Tatizo husika, ubaya nikwamba sisi kwenye kufanya tafiti tuko nyuma sana. Badala yake mitishamba imegeuka kilio kwa kuharibu figo na main ya watu huku wengine kutopona kutokana na kutojua kiwango sahihi cha matumizi
Endelea kuwaza hivyoMatatizo ya Figo anza kulaumu pombe