Ijue nguvu ya Dushe.

Ijue nguvu ya Dushe.

TheBuilder

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
237
Reaction score
212
Niaje friends?

Kuna wadada nawafahamu kwa miezi kadhaa kuwa ni marafiki, lakini majuzi wamezinguana na kutoana ngeu mpaka mmoja kumtimua nyumbani kwake kisa, "DUSHE".

Inasemekana hawa girls ni marafiki tangia wakiwa wadogo na wamesoma shule moja na darasa moja, baada ya kumaliza elimu ya msingi waliendelea na masomo ya secondary shule tofauti na Mikoa tofauti wakawa wakionana wakati wa likizo na baadaye hawakuwa na mawasiliano kabisa.
Mwaka jana walifanikiwa kukutana tena Jijini Dar es salaam mmoja akiwa ni mwenyeji na mwingine ni mgeni, basi walifurahi sana kwa kuonana baada ya kupotezana kwa muda mrefu wakapeana namba za simu.

Baada ya siku kadhaa ngeni alikwenda kumtembelea mwenyeji, walifurahi sana, mwishowe wakakubaliana kuwa huyu ngeni ahamie kwa mwenyeji maana alikuwa anaishi peke yake.
Alihamia wakaishi kama ndugu wakiitana dada dada, mwenyeji akamwambia kila kitu ukionacho humu ndani unaruhusiwa kutumia maana cha kwangu ni cha kwako pia, basi ngeni hakuwa na wasi wasi katika matumizi ya vitu pale nyumbani, akihitaji gari anachukua ufunguo na kwenda anakotaka.
Taharuki imekuja baada ya dada mwenyji kugundua na kuthibitisha kuwa ngeni anatembea/sex na boyfriend wake, ngeni alipopewa kibano akakubali kuwa amesha sex naye mara kadhaa, lakini hakutaka kufanya hicho kitendo ila jamaa alitumia ushawishi mkubwa sana mpaka dada mgeni akakubali.

Kwa ujumla ilikuwa ni mshike mshike makonde yakapigwa mpaka kutoana ngeu, dada ngeni akatolewa nguo zake nje na kufukuzwa akisindikizwa na matusi ya nguoni.

Aisee........... Mwanadada alimruhusu mwenzake atumie kila kitu cha kwake, lakini ilipoguswa dushe kikawaka-------- hii ndiyo nguvu ya DUSHE.
 
basi bwana mesi ndo akafanya yake Chelsea akatolewa kwa aibu sana [emoji30][emoji30][emoji30]
 
Naomba samari ndugu yangu nategemea comment za watu nipate mawili matatu maana kifurushi hakitoshi hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa ni kama Eric Shigongo tu kaleta kistory cha ngono
 
Back
Top Bottom