Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Mwanaume mapacha,mwanamke nyota ya simba leo.imekaaje hapo?
 
Plz tarehe 21 July wapo kwenye nyota ipo hapo juu
 
Je, ni nyota ipi ungependa iongezewe maelezo?
Heshima yako mkuu siwezi kukubeza hali yakuwa sijui chochote nahata mtaani watu wanapokosana uambiana kuwa nyota zenu haziendani nailishazoeleka hivyo....

Swali langu, nimezaliwa tarehe 14 mwezi wa12 nampenz wangu amezaliwa tarehe 07 mwezi wa2 je kinyota tunaendana kuanzia Maswala yakiuchumi mpaka maelewano kama mume namke
 
Sorry mpenzi wangu kazaliwa tarehe 24 mwezi wa2
 
Mimi nimezaliwa tarehe 24 ya mwezi wa 9 na mke wangu amezaliwa tarehe 9 ya mwezi wa 9 nyota zetu zipo wapi hapo... Kama ni mizani je tunaendana?
 
Mimi nimezaliwa tarehe 24 ya mwezi wa 9 na mke wangu amezaliwa tarehe 9 ya mwezi wa 9 nyota zetu zipo wapi hapo... Kama ni mizani je tunaendana?
Wewe ni Mizani na Mke wako ni Mashuke.

Halafu mbona mvivu kusoma hivyo wakati mchambuzi kachambua kila kitu kwa lugha nyepesi.
 
Sorry mpenzi wangu kazaliwa tarehe 24 mwezi wa2
Habari mkuu, kwanza kabisa kwenye swali lako elewa ya kuwa nyota yako ni Mshale na Mwanamke ni samaki hizi zote hutawala siku moja na sayari moja na kwa bahati nzuri samaki huwa ana nyuso mbili yaani ndani moto na nje ni maji sasa pale unapokutaka kimapenzi hawa kila mtu humuona mwenziwe ndio yule alikuwa akimsubiri kwa muda mrefu nao wote hawa wanatawala sayari moja ambayo ni Mushtar (Jupiter) ambayo ni sayari ya kipato na nafasi pamoja na bahati kwa hiyo kipesa couple hii haiwezi kuhangaika labda Mungu apende pia nyota ya samaki huvutiwa sana na nguvu ya mshale katika kutafuta maisha na Mshale pia huvutiwa sana na mambo ya samaki ya kiroho kwa maana mshale hupenda sana mambo ya kujifuatilia kiroho na samaki hupenda sana mambo ya kiroho. Ingawa mara nyingi mshale hupenda kuwa na mwenza tu, samaki yeye hupenda kuwa na mpenzi wa ndoto zake nao pia wote husaidiana katika hilo, Mshale hutegemea sana mambo ya kielimu ya kiroho kuweza kumfanikishia mambo yake na samaki huwa ni mtafutaji mkubwa wa elimu hizo na kwenye uwezo mkubwa wa kukamilisha lile analolihitaji Mshale,
Katika tendo mshale hupenda sana kuwa na mwenza asiye choka yaani hata wakikesha wanatenda tendo yeye hufurahi na pia kwa mshale yeye hupenda sana kufanya mapenzi na mtu ambaye ni mzuri kwa wakati anamvutia kwenye macho hayo hupenda vitu vizuri pale wawapo faragha.
Hii ni couple nzuri sana kwa maswala ya kipato lakini katika maswala ya tendo haichukui muda sana. inaanza kugeuza mapenzi yao yaliyovuma kwa kasi sana na kuanza kuoneana aibu na kufedheheshana kwa maana atatakiwa samaki awe na kazi ya kujiweka tofauti mara kwa mara ili kuweza kutulia na huyu mwenye nafsi ya Onja Onja japo kuwa anaweza asiwe hivyo lazini ndani yake siri yake kubwa hupenda kudokoa dokoa pembeni.

Rakims
 
Mimi nimezaliwa tarehe 24 ya mwezi wa 9 na mke wangu amezaliwa tarehe 9 ya mwezi wa 9 nyota zetu zipo wapi hapo... Kama ni mizani je tunaendana?

Wewe ni Mizani na Mke wako ni Mashuke.

Halafu mbona mvivu kusoma hivyo wakati mchambuzi kachambua kila kitu kwa lugha nyepesi.

Habari mkuu, jibu umeshapewa na culture gal, elewa ya kuwa mizani ni upepo na virgo ni udongo,
Sorry to disappoint you, but hii couple haiendi popote kila mtu atashika njia yake kwa maana, virgo ni mama wa nyumbani mwenye kupenda sana kila jambo limkute nyumbani na lipambe nyumba yake sasa pale tunapokuja kwa mizani huwa sio mtu wa kukaa na kutulia ni mtu wa kuzurula na kufurahia mazingira ya nje na yeye japo kuwa ni mstarabu lakini hawezi kuishi bila ya side chick au mke wa pili sasa hapa ndio kesi huanzia maana hata kama yeye sio mzinzi, Virgo ni nyota isiyopenda tabu kabisa haioni hasara kuvuta mwanamme au mwanamke ndani ya nyumba yako au yenu na kukutana nae humo, this couple ain't go anywhere mkuu kwa maana virgo hupelekesha sana kwenye mapenzi na mizani anakaroho ka kupepea sasa bomu hili likilipuka hakuna wa kuzima,
hata ukiitwa sehemu kusuruhisha uliza kwanza tarehe zao za kuzaliwa ukikuta kuna couple zisizoendana waambie wewe huwezi kusuluhisha.
Don't waste your time if your a virgo wan't to marry or being in a relationship with Libra wala usipoteze muda kujihusisha na Mashuke kama wewe ni Mizani.

Rakims
 
Mkuu Mimi Ni Tarehe 23/06 na ninae Tarajia Awe Mkee Wangu Ni Tarehe 16/11 Hapa Imekaa Vipi?
 
Mkuu Mimi Ni Tarehe 23/06 na ninae Tarajia Awe Mkee Wangu Ni Tarehe 16/11 Hapa Imekaa Vipi?
Habari mkuu hapo anakufaa huyo kwa kila sector. Ng'e na Kaa ni nyota zinaendana vizuri

Rakims
 
Shukrani mkuu, ila hapo kwasamaki kuwa nakazi yakujiweka tofauti unakuwa unamaanisha nn mkuu, ulimaanisha huyu nyota yasamaki asipo kuwa bize nakazi anaweza anza usaliti? Samahani nisaidie hapo
 
Shukrani mkuu, ila hapo kwasamaki kuwa nakazi yakujiweka tofauti unakuwa unamaanisha nn mkuu, ulimaanisha huyu nyota yasamaki asipo kuwa bize nakazi anaweza anza usaliti? Samahani nisaidie hapo
habari, hapana mkuu namaanisha kuwa huyo samaki asipojigeuza muonekano na tabia tofauti tofauti basi mshale humchoka mapema,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…