Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Kumi na tano Sept huyu ni mashuke, kwa Nini unadai Kuna nyota zangu nyingine za jina mfano herufi B na hiyo nyingine naijuaje
Hizi nyota zingine zinakusaidia kujua wewe ni mtu gani exactly, maana kwenye hizi 12 hujumuisha watu wote wa kundi fulani lakini ukija kwenye kuangaliwa ndio unaambiwa wewe ni yupi exactly na unatabia zipi yapi yanakufaa yapi hayakufai na mengineyo. Ndio maana kuna mtu anaweza kuzaliwa tarehe ya nyota hiyo halafu tabia zikawa hazielewi au haendani nazo ukiingia ndani zaidi ndio utaelewa nazungumzia nini.

Rakims
 
Kumi na tano Sept, jina herufi B na hiyo najuaje hapo
 
Uuuwi mara yes mara. Noo. Ila tareh yang na heruf. Ya jina lang yameendana huenda ni kweli
 
Kati ya tarehe hizo maana yake ni kuwa kama miaka ya mbele zitakuwa zimehama basi na mlolongo unageuka

Rakims
ahaa.maana mwezi March to April nimezishuhudia Gemini na Scorpio kwa pamoja
 
Mkuu Mimi nyota yangu kiasili ni udongo lakini kazi ninayoipenda kufanya tangu utotoni inahusishwa na asili ya Moto na ukiangalia kazi zinazoendana na nyota ya udongo hamna ata moja nnayoikubali .. hii imekaaje mkuu ?..
 
Akhiy naomba kujuzwa kwenye hili, Kwanini waislamu wanatumia miezi ya kipagani badala ya ile miezi ya kiislam kwenye usomaji wao Wa nyota au kuna kitu kinafichwa?
Nalog off
 
Mkuu Mimi nyota yangu kiasili ni udongo lakini kazi ninayoipenda kufanya tangu utotoni inahusishwa na asili ya Moto na ukiangalia kazi zinazoendana na nyota ya udongo hamna ata moja nnayoikubali .. hii imekaaje mkuu ?..
Hutokea hivyo mkuu ndio maana baadhi ya wazee husema kipenda roho hula nyama mbichi. Ni sawa na mtu anaeishi Tabora Tanzania lakini anatamani Fahari za Washington DC. Ni kitu kitabaki kwenye nafsi yake in reality ataarchieve mfano wake tu

Rakims
 
Mkuu rakims shukrani kwa ufafanuzi mzuri, naomba kuuliza kipengele flan sijakuelewa kuhusu nyota iliyochomoza pindi unapewa jina, ni jina lipi hasa , je ni jina nilopewa kwa Mara ya kwanza, na je Kama nilibadilisha jina baada ya kuingia kwenye Imani nyingine mfano, uislam
 
Inakuwaje nyota Simba haelewani na nyota ya ndoo halafu hao hao ni nyota zinazo faa kuoana kabisa ndoa! yaani wakapigane siyo! utaoaje mtu ambaye hamuelewani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…