Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Asante sana Mkuu Rakims,binafsi nimekua mfuatiliaji sana wa mambo ya nyota,Nyota yangu ni Punda,asilimia kubwa ya mambo yalipo kwenye nyota hiyo ni maisha ambayo nimeyapitia na naendelea kuyapitia, Asante sana[emoji120]
 
Inakuwaje nyota Simba haelewani na nyota ya ndoo halafu hao hao ni nyota zinazo faa kuoana kabisa ndoa! yaani wakapigane siyo! utaoaje mtu ambaye hamuelewani?
Mkuu swali kama hili nimejiibu mara nyingi kwenye quotes zilizopita nikuombe usome ili upate majibu ya swali hilo na lingine unalohitaji kuuliza

Rakims
 
Mkuu jina lako na jina la mama yanajumlishwa kwa hesabu ya thamani ya herufi kisha zinapewa nyota 12 itakayo baki ndio inajulikana yako hapo baada ya kujua mizani ya ile iliyopo kwenye tarehe mwezi na mwaka wako wa kuzaliwa

Rakims
 
Asante sana Mkuu Rakims,binafsi nimekua mfuatiliaji sana wa mambo ya nyota,Nyota yangu ni Punda,asilimia kubwa ya mambo yalipo kwenye nyota hiyo ni maisha ambayo nimeyapitia na naendelea kuyapitia, Asante sana[emoji120]
Karibu mkuu na tupo pamoja

Rakims
 
Mkuu swali kama hili nimejiibu mara nyingi kwenye quotes zilizopita nikuombe usome ili upate majibu ya swali hilo na lingine unalohitaji kuuliza

Rakims
Duuu! kazi kwelikweli! any way!
 
Naomba unichekie hii ni nyota gan hapa ya kufuata.nida wa kuzaliwa 12 jioni
Tarehe 16/03/1987
Jina herufi I
 
Naomba unichekie hii ni nyota gan hapa ya kufuata.nida wa kuzaliwa 12 jioni
Tarehe 16/03/1987
Jina herufi I
Nyota ya samaki, yenye tabia za kaa pia

Rakims
 
Mfano kama mimi kwa mujibu wa tarehe ni mshale ila jina langu linaanza na E nikisoma tabia za nyota ya Simba naona baadhi ninazo na mshale pia ninazo so complicated
Akikujibu nitag
 
Mkuu naomba nichekie nyota yangu nimezaliwa tarehe 08/08/1988
Jina linaanza na herufi A
Nyota yangu ni ipi?
 
mzee me nataka kujua niliambiwa sku yangu ni jhumanne hivi inakuwaje hapo?kuhusundoa n.k
 
Nyota ya simba mkuu

Rakims
Si kweli huyu Kipapi ni Simba. Mpangilio wa ishara ya nyota unategemea ni nyota zipi zinazoonekana juu kwenye mstari wa njia ya Jua angani. Miaka 1000 iliyopita kundinyota ya Simba ilikuwa juu kwenye kipindi cha mwanzo wa Agosti.. Siyo tena. Siku hizi ni Kaa (pia saratani au Cancer).
Kipapi anayeuliza kuhusu nyota ya tarehe za kuzaliwa, basi alizaliwa chini ya nyota za Kaa siyo Simba.
Labda Mkuu Rakims aeleze aliona lini nyota za Simba juu kwenye tarehe ile ya Mwanzo wa Agosti???
 
Mkuu Rakims samahani naomba nami unitajie nyota yangu. 1/03 herufi ya jina ni O. Natanguliza shukrani
 
in short ELIMU YA NYOTA NI MAJINU NA MARUHANI, Yesu hakuleta haya majitu, ni wanadamu wamejiundia.
 
Tatizo la uzi na utaalamu wake ni nyota yenyewe. Ninavyoona Rakims haangalii nyota. Anatumia jedwali tu za tarehe zilizotungwa miaka mia kadhaa iliyopita au zaidi.

Kama nyota zina athira kwa tarehe fulani - basi haangalii nyota hali halisi.

Alama za nyota na tarehe zinaendelea kubadilika polepole sana - lakini baada ya karne nyingi zimebadilika tayari. Hivyo ulinganifu wa nyota na tarehe hapa si sahihi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…