Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

mkuuu naomba unisaidie kujua nyota yangu nimezaliwa tarehe 26/04/1994
Ili kuweza kujua nyota yako sahihi nitahitaji jina lako na la mama tarehe mwezi na mwaka wa kuzaliwa kuna gharama ya uchambuzi.
Sh elfu 10
Rakims
 
Ili kuweza kujua nyota yako sahihi nitahitaji jina lako na la mama tarehe mwezi na mwaka wa kuzaliwa kuna gharama ya uchambuzi.
Sh elfu 10
Rakims
Kwani nyota c inaangalia tarehe na mwezi jina la mama linaingiaje hapo? Naomba nieleweshwe
 
Kwani nyota c inaangalia tarehe na mwezi jina la mama linaingiaje hapo? Naomba nieleweshwe
Waarabu wanaangalia nyota yako kupitia jina lako na la mama yako na tarehe mwezi na mwaka wa kuzaliwa

Wazungu wanaangalia nyota kupitia tarehe mwezi na mwaka

Wachina wanaangalia nyota kupitia tarehe mwezi na mwaka

Kwa hio anataka aangalie kupitia njia ya waarabu sio njia ya wazungu, elewa
 
Nimekuelewa hapo changamoto njia ipi ni sahihi ya wazungu,waarabu au wachina? Ipi inatambulisha nyota ya mtu husika
 
Kwani nyota c inaangalia tarehe na mwezi jina la mama linaingiaje hapo? Naomba nieleweshwe
Majina ndio yanajulisha ascendant ya mtu hasa wale ambao hawajui saa zao za kuzaliwa vile vile ndio sawa kama bendera ya mtu binafsi
 
Unaweza kumuelewesha zaidi kuwa tarehe za kiarabu zinatembea na mizani za mwezi kila unapoandama na kuchomoza
 
Zote sahihi Ila ya waarabu kuna Mambo mengine ya ziada utajua kupitia herufi za jina la mama yako na jina lako
Kupitia hizo njia kwa mfano mm kwa upande wawazungu mm nyota yangu ni punda kwa waarabu nikaangalia ikaniambia mm ni simba nitasimamia upande upi?
 
Kupitia hizo njia kwa mfano mm kwa upande wawazungu mm nyota yangu ni punda kwa waarabu nikaangalia ikaniambia mm ni simba nitasimamia upande upi?
Majina ya mama yako na jina lako vitaamua wewe ni nani na una nyota gani, Rakims anasema utaijua bendera yako ni ipi
 
Unaweza kumuelewesha zaidi kuwa tarehe za kiarabu zinatembea na mizani za mwezi kila unapoandama na kuchomoza
Mm nimezaliwa tarehe 8/4 jina la mama linaanzia na R langu linaanzia na K nyota yangu kiarabu inasomekaje naomba kuuliza?
 
Najiona mimi kabisa herufi ya jina kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…