Well, hizi nilieandika kwa utofauti kwa maana baadhi ya member walianza kucopy na kuelezea sehemu na kuiba makala, hivyo katika kuchanganya herufi ikabidi niweke tofautiItakuaje kama herufi ya jina langu ipo kwenye nyota tofauti na ile ya tarehe ya kuzaliwa kwangu?
Jambo jingine la kukanganya katika hizi nyota ni pale ninapoona herufu ya jina la mtu ikiwepo kwenye zaidi ya nyota moja.
Sasa mtu kama huyo atachukua nyota ipi
Mkuu hapa sijakupata unachomaanisha labda ungenisaidia kwa kuongeza maelezo zaidi ya ufafanuziWell, hizi nilieandika kwa utofauti kwa maana baadhi ya member walianza kucopy na kuelezea sehemu na kuiba makala, hivyo katika kuchanganya herufi ikabidi niweke tofauti
Herufi hizi nilitofautisha ili mwenye uhitaji kweli na anayetaka kuchimba zaidi aweze kunitafuta kwa maana kuna hekima na hizi elimu vile vile herufi za mwanzo za jina hazina uzito sana wa kujua nyota ya mtu isipokuwa huwa zinatupa picha huyo mtu ni wa aina gani na anamitizamo ganiMkuu hapa sijakupata unachomaanisha labda ungenisaidia kwa kuongeza maelezo zaidi ya ufafanuzi
Namba inayotumika lopote panapohitajika namba mfano namba ya mwisho ya siku, nyumba namba, guest au lodge room number, keno number,bingo number, saa number etc.KWA MFANO: waliozaliwa January 15 unaposema namba yao ya bahati ni 8. hiyo 8 namba ya bahati una maanisha nini?
Tembelea thread yangu ya Mahusiano kinyota lakini pia unaweza kutembelea webite zangu kusoma zaidi kwa kinaMKUU MSAADA WAKO; kwa mfano mimi nyota yangu ikawa ni MBUZI. Alafu ninayetaka kumuoa ana nyota ya NDOO hili limekaaje kimahusiano na kiuchumi??
Hizi herufi nilivuruga baada ya watu kuleta vurugu.[emoji106]Sasa mkuu mbona Herufi za majina zipo Katika nyota zaidi ya moja.hapo kuna vijana wa miaka ya 90 hawajui tarehe zao za kuzaliwa lakini andiko lako linasema unaweza ijua nyota kupitia herufi ya mwanzo na hizo herufi zipo Katika nyota zaidi ya moja hapo sasa huoni kama unamchanganya
Noted mkuu.Rakisms ni muongo sana naona akidanganya watu, Hizi nyota kinachoangaliwa ni tarehe na mwezi wa kuzaliwa sio herufi ya mwanzo wa jina lako, Na kinachonishangaza ni kwanini haya Mambo ya nyota yana ukweli mwingi hasa kwenye tabia!!!! Haya ya kinyota yanaendana na matendo ya wanadamu
SawaNoted mkuu.
Tupo pamoja
Kila moja ina nguvu zaidi kuliko zingine hiyo ni kutegemea na nguvu ya namna gani unayozungumzia...Mkuu Rakims katika makundi hayo yote ya nyota je ni nyota gani ina nguvu kuliko zote hizo?? Au ina tawala zingne zote hapo??
Ntashukuru sana kama ukinijibu.