Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Mkuu Rakims katika makundi hayo yote ya nyota je ni nyota gani ina nguvu kuliko zote hizo?? Au ina tawala zingne zote hapo??

Ntashukuru sana kama ukinijibu.
Kwa uelewa wangu hakuna nyota yenye nguvu kuliko zengine, lakini huwa karibu nyota zote hizo tunahusika nazo kwa maana mtu hana nyota moja tu bali tunatumia kila nyota kwa sehemu tofauti kwahiyo inaweza ikatokea ukasoma nyota yako hapo ukaona ipo tofauti na wewe hapo inakuwa nyota hiyo ipo weak upande wako na kuna nyota nyengine ndio ikawa yenye nguvu ukiisoma unajiona kabisa.
 
Kila moja ina nguvu zaidi kuliko zingine hiyo ni kutegemea na nguvu ya namna gani unayozungumzia...

Mfano utawala ni Simba
Pesa ni Ng'ombe
Vita ni Punda

N.k

Rakims
Kwahio simba ni mtawala wa nyota zote Ikiwemo mshale??
 
Kwa kuwa tu umesema ni kwa uelewa wako sina la kuongeza mkuu..

Rakims
 
Kwahio simba ni mtawala wa nyota zote Ikiwemo mshale??
Ndio kwa maana nyota zote hizi ni katika makundi nyota ya sun signs hivyo nyota ya kwanza iliyo pamoja na Jua ni Simba. Na hii kuifanya yenyewe kuwa ni nyota tawala kwa vile tu ipo chini ya sayari (Nyota) tawala

Rakims
 
Kwa kuwa tu umesema ni kwa uelewa wako sina la kuongeza mkuu..

Rakims
Yeah elimu yangu ndogo kwenye astrology ndio maana nimesema hivyo kwa uelewa wangu, maana mie nyota yangu ni simba(sun sign) ila nilikuwa naona siendani sana na tabia za nyota ya simba nilikuwa naona nyota ya mashuke ndio mimi hasa hivyo sikuweza kuelewa hadi nilipokuja kujua kwamba Rising sign yangu ni mashuke.
 
Ukiona hivyo jua una nyota ya simba yenye rising sign ya mashuke ni kawaida na sio sababu ya mtu kutumia nyota zote..

Hivyo kuwa na tabia za nyota ya mashuke si maana kwamba wewe ni mashuke

Rakims
 
S
Ukiona hivyo jua una nyota ya simba yenye rising sign ya mashuke ni kawaida na sio sababu ya mtu kutumia nyota zote..

Hivyo kuwa na tabia za nyota ya mashuke si maana kwamba wewe ni mashuke

Rakims
Sijasema kuwa mie ni mashuke au natumia nyota zote mbili ila rising sign yangu(mashuke) ina nguvu kuliko simba, niliposema kuwa nyota zote zinatuhusu ni kwa maana ya kwenye planet zengine tuna nyota zengine pia.
 
IMI Mtaalam Bado ninshida katika Elimu hii tangu kipindi Cha sheh Yahaya jina la ASajile Imelda na tarehe 24-10-1990 vinaleta nyota mbili tofauti je kiunajimu sio kosa na kama nyota MOJA nifuate IPO jina au tarehe ya kuzaliwa
 
Rakims inakuwaje umeachana na mtu bado unakuwa unamuota Mara kwa Mara.
kuachana kwetu sio kwa ugomvi
 
Story tu za kumnadi Mungu wako ambaye hajulikani ,
 
Hapa tayari umeshaanza kurudi kwenye asili ya Nyota ambayo ni Uchawi, majini, mizimu na dini za kiimani.
 
Habari,naomba msaada Mwanangu amezaliwa tar 31/3/2024 saa 5 usiku. Nisaidieni kumpa jina hii siku ilikuwa ni Pasaka.Ni mkristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…