ijue picha ya mama aliyetaka kubakwana na Strauss-Kah(Boss wa IMF)

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441


ila ni kifaaa,ingawaje ana mtoto wa miaka 9,lakini umbo na sura yake bado ipo hewani
-
Jina lake ni Nafissatou Diallo, 32, mjane, mwenye mtoto wa miaka 9. Ni raia wa Guinea aliyehamia

Marekani
 
Huyu Mdada anazungumza French, Boss wa IFM anategemea kugombea Urais France..... Let me connect the Dots!
 
Jna lake zuri linaishia na ... Diallo!

Kuna Diallo kule Mwanza!
 
Inasemekana ni Mzaliwa wa
Senegal


ila ni kifaaa,ingawaje ana mtoto wa miaka 9,lakini umbo na sura yake bado ipo hewani
-
Jina lake ni Nafissatou Diallo, 32, mjane, mwenye mtoto wa miaka 9. Ni raia wa Guinea aliyehamia

Marekani
 
Sipati picha ingekuwa wahudumu wetu hapa bongo. Ile kuangaliwa mara moja tu, kishalegea.
 
Hakuna cha kutegwa. Jamaa nasikia ndio zake. Sasa amekutana na arobaini yake. Mbona alikimbia. Mbona hata simu aliisahau. Mbona amekimbilia kujiuzuru mapema hivi. Ngoja apigwe mvua.
 
hapa nimeamini uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu. lol
 
Ukisoma vibweka vya huyu BOSS (Dominic) utashawishika kuamini kabisa anaweza kutenda kosa la kubaka

jamaa anavituko vingi vya mambo ya ngono.
 
Msiwe judgemental hivyo kwa kusikia rumors za upande mmoja wa story....pia mjiulize kwan nini hii kashfa imejotokeza hivi punde tu wakati anataka kugombea urais.
It all makes good sense with the timing of the story.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…