ijue picha ya mama aliyetaka kubakwana na Strauss-Kah(Boss wa IMF)

Hii kesi mbona imeshika kasi sana kuliko hata ile ya Bill clinton kutaka kumbaka Monica lewinsk? Kuna jambo hapa.
 
...."mende kaangusha kabati!"

Kwakuwa Mwanadada ni mwafrika, story hii inataka kuwa twisted and turned almuradi paonekane pana ka uongo

hapa! Ukweli utabakia ukweli tu,....
  • wanaume wengi huwabaka house girls wao,....
  • mahotelini, room maids na waitresses wanakumbana na kaadhia kama hizi, na za kupitiliza.
Not very long ago, kuna member wa JF aliandika kisa cha kubakwa na aliyekuwa Boss wake (anayeshikilia wadhifa nyeti Serikalini)
lakini kwakuwa mfumo dume na sheria za nchi bado sana, kesi hizi zinafunikwa mwanaharamu apite...!
Na bado wapo wengi tu wanaobakwa na Ma boss wao hata maofisini!

Mike Tyson is branded a Rapist for life ilhali Mwanamke ndiye aliyemfuata chumbani kwake.
Kwakuwa mwanadada ni "Mweusi" na DMK ni IMF boss, French Presidential Candidate na 'mzungu' ndio aonekane anasingiziwa?

No way bana.
 
sijui mzee alivutiwa na nini hapo? more views please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…