Ijue pombe na Hangover kitaalamu

Mleta mada hivi unaongelea pombe ya aina gani? kwakua kila pombe ina Stim yake na madhara yake kwamfano Kiroba! hembu tufafanulie!
Pombe ninayoongelea ni hii ya kawaida ambayo kitaalamu ni ethanol..Tofauti iliyopo ni kiwango cha pombe yaani concetration na utayarishaji wake huja kuwa ni beer,spirit au wine!
Menthanol ambayo hupatikana sana kwenye gongo ni tofauti kidogo na ethanol..Sasa viroba vingi huweza kukuta kuna methanol ambayo ni sumu kitaalamu
 
Yaani mi nilikuwa napenda sana pombe Ila hali imebadilika sana,kwa mfano nikinywa pombe kesho yake naumwa sana hata kazini nashindwa kwenda. Nimeona tu nistafu pombe, ila nikipata hata dawa ya kienyeji nitashukuru sana
 
Mada Nzuri. Sana!! Ila imenikuta nimeshalewa!! Ok!! Ninajitahidi kuisoma tena na tena,asante mkuu.
 
Acha tu mkuu!
Ila tukiacha wote kwa pamoja tutalitia taifa hasara..
Niombee manake najitahidi sana ila napata shida sana kupita baa especially usiku nyingi wameziboresha wakati mwingine nasema ngoja nikanunue hata maji badala yake najikuta nimeagiza lilaiti!.Serikali ijenge soba hausi za pombe jamani daah!.Washikaji zangu nikiwambiaga wananiambia suala la we kuacha ushakuwa wimbo wa taifa we liendeleze tu!
 
Acetaldehyde hii noma sana kuna wakati hata supu na maji mengi baridi vinabuma hahhaa
 
by the way mkuu sonaderm thanx for this useful post
 
Kama hujaoa basi fanya mpango uoe ndugu yangu. Usipokuwa makini kuicontrol aisee uchumi wako utaenda tenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…