Ndio nini?
Kinachonishangaza ni viongozi wa kijeshi wa hizi nchi Uganda Rwanda na DRC, maana kiongozi mmoja anaweza kutumikia majeshi yote kwa nyakati tofauti.
tatizo lako huelewi historia ya hao watu unao wasema,je unajua maafisa wa kijeshi wa TPDF walio ndani ya jeshi la CONGO?je wajua warundi walio ndani ya jeshi la TPDF hivi wakirudi kwao utasemaje?