chapangombe
JF-Expert Member
- Sep 28, 2014
- 374
- 325
Wosia ni maandishi au maneno anayo ya tamka mtu akielezea taratibu za mazishi yake,warithi, wake baada ya kifo chake
WOSIA KATIKA SHERIA YA KIMILA
Wosia wa maneno ya mdomo lazima wawepo mashahidi wasiopungua wanne na wawili kati ya hao lazima wawe ndugu
WOSIA KATIKA SHERIA ZA KISERIKALI
wosia lazima uwe Katika maandishi mtoa wosia atakuwa na uwezo was kufuta au kuongeza sehemu yoyote ya wosia wake
WOSIA KATIKA SHERIA ZA KIISLAMU
Mtoa wosia hawezi kuusia Mali zake zote sheria ina ruhusu kuusia theruthi moja tu ya Mali na therusi mbili ni lazima ifuate taratibu za kiislam za ugaeaji
FAIDA ZA WOSIA
1.huondoa mashaka
2.unalinda Mali
3.huepusha umaskini wa ghafla
UTARATIBU WA KUFUNGUA MIRATHI
endapo marehe ameacha wosia lazima kifo kisajiliwe kwenye ofisi za wilaya ndani ya siku 30 na utapewa cheti Cha kifo
Msimamithi wa mirathi atafungua mirathi akiwa na cheti na wosia
Baada ya kufungua mahakama hutoa siku tisini ili kutoa nafasi ya pingamizi
Kama hakuna msimamithi hupewa barua ya kugawa Mali sawa sawa na wosia
Baada ya kugawa Mali msimamizi hutoa mrejesho akionyesha alivyogawa Mali
Na baada ya hapo mahakama ufunga jarada
KAMA IKITOKEA HAKUNA WOSIA
1.Cheti Cha kifo kipatikane
2.kikao Cha familia wamchague msimamizi wa mirathi
.3 muktasari wa kikao ikiwemo Mali za marehemu na wanufaika.
4.kwenda kufungua mirathi mahakamani
Wanufaika wa mirathi wanao uwezo was kumkataa msimamithi wa mirathi ikiwa ameenda kinyume na UTARATIBU