Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Nimegundua kuwa Watu wengi wana udini bila kujijua,na wanajitahidi sana kutafuta hoja wakizipamba zionekane za msingi!! Kumbe wapi ..
Me ni mkristo,lakini naomba mama aongeze list la waislam!! Kwenye uongozi
Makundi ndani ya chama tawala,wasiompenda mama na vyama venginenyo wanajitahidi kujificha sura na kutafuta hoja mbalimbali alimradi kumkwamisha

Sitaki kuamini msomi mwenye akili timamu!! Akisikia mama Leo kateua mtu,anaenda kuangalia jina ety leo ni Francis au Shaban 😂😂😂😂😂

Enzi zile nafasi nyingi wanapewa christian mlifaidika na Nini?? Gov ilikuwa inawapa ugali Bure?? Au kuwalipia watoto wako ada Bure

Wapuuzi wakubwa nyie,
Mtapata tabu sana woote mnaondekeza udini,

Basi toeni list la majina yenu mnayotaka wawekwe!! Tupeleke ikulu, halafu wakipata nafasi tuone km watagawa kazi Bure kwa sisi christian wenye vyeti ambao bado tupo mtaani

Tulikuwa na Nyerere,
Akaja magufuli....
Kila mtu ataingia atafanya yake,mwacheni mm afanye yake
 
Mizungu na miarabu iliwaweza waafrica kwenye dini. Mmatumbi wa Kilwa yupo tayari kumuua ndugu yake kwa dini za kuletewa.
 
Unaona ulivyo hauna akili? Mimi muda wa kupigana na mtu sababu ya dini nautoa wapi? Hapo nakueleza wewe uliyesema unaanza kucheza judo na karate.

Hivi kwa nn mnakosaga akili? Kweli kile kitabu ndio kinawalemaza ubongo?
Ww ndo mpumbavu, huna muda wa kupigana kisa dini ya mtu ila una muda wa kushinda jf kumtukana mtu kwa sababu ya dini yake? Una mavi kichwani badala ya akili.
 
Nyinyi msiopenda vita mbona ndio mliitia dunia katika vita kubwa mbili na mnatishia ya tatu? Sijui mnajikutaje nyinyi. Angalia waanzilishi wa vita nyingi duniani ni nani? Rudi katika mada, huko hupawezi.
Muulize huyo Mossolini wa Italia alikuwa Muisilamu?
 
Ww ndo mpumbavu, huna muda wa kupigana kisa dini ya mtu ila una muda wa kushinda jf kumtukana mtu kwa sababu ya dini yake? Una mavi kichwani badala ya akili.
Najua wengi hamna akili, na Wala hili halijifichi. Mimi Hadi nikutukane basi Kuna sehemu umeweka ujinga wako wazi. Nilivyosoma comment ya huyo mjinga ndio maana nikamtukana.

Nabishana na dini ili niwe nani, Ila ukileta habari za dini yako ndio nzuri au ujinga basi naruka na wewe. Mmekua wajinga wa akili hadi mwili
 
Safi Sana kwa uchambuzi uliotukuka. Watanzania tuache mazoea kuwa teuzi zinawahusu watu fulani tu
 
Hata Kama ni msaada ndio upewe msaada wa tende na nyama ya ngamia? Wenzetu kwa nn hamna akili?
Akili hawana wanaoabudu fundi seremala na kupiga magoti kuomba sanamu lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…