Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

hivyo vitabu vyako vinasomwa shule gani
Lap...
Oxford University Press, Nairobi wamechapa vitabu viwili:

The Torch on Kilimanjaro, (2006)/Contributing author for an African anthology: ''The Mermaid of Msambweni and Other Stories,'' Oxford University Press (2007).

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network Dar es Salaam, (2020).

Vitabu hivi ni kwa ajili ya kufundisha Historia na Kiingereza shule za msingi:


''The School Trip to Zanzibar,'' Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York
(Rejea Maktaba Vyuo Vikuu)


The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998.
Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.


Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.


Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam
Sekondari na Vyuo Vikuu



 
Lap...
Unaandika umeghadhibika.
Unatukana.

Hapana haja ya maneno hayo.

Una hoja unaandika kwa adabu na heshima.
 
Lap...
Unaandika umeghadhibika.
Unatukana.

Hapana haja ya maneno hayo.

Una hoja unaandika kwa adabu na heshima.

''Lakini tuende kielimu.

Ninayo ripoti ya mwaka huu.
Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu.

Asilimia 29 ni wengine.
Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe.

Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79.
Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.

Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu.

Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga.

Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha. Mwalimu Nyerere alisema zamani ifanywe bidii ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Sasa bidii hii siyo ya kuwanyanyua waliokuwa chini.

Bidii hii ni ya kuwakandamiza waliokuwa chini.''

(Hotuba ya Mh. Kitwana Selemani Kondo Bungeni, 1999)


 
Nyakati za Nyerere mpaka hata leo, watoto wa imani A wakienda shule za Dunia, watoto wa imani B wanaenda madrasa, na Dunia inaendeshwa na namna ya ufanyaji kazi kupitia elimu A, ilikua lazima uone watu wa imani A wametamalaki
 
Udini uko ndani ya CCM fuatilia nafasi za Makatibu wa CCM wa Mkoa, Makatibu wa UVCCM Mkoa, Makatibu wa Wazazi Mkoa, Makatibu wa UWT Mikoa, Makatibu wa CCM wa Wilaya, Makatibu wa UWT Wilaya, Makatibu wa UVCCM Wilaya, Makatibu wa Wazazi Wilaya anza na Mkoa wako uliopo kisha fuatilia mikoa mingine utakuja kunishukuru.
 
Islam ni kama ulemavu fulani yaani mnapenda sana huruma sijui wakoje? [emoji51]
 
kwa mfumo wa teuzi uliopo ni almost impossible kufuta;
  • udini,
  • ukabila.
  • undugu,
  • ukanda etc

Hii ni kwasababu wateuzi wana dini, kabila/kanda, ndugu, na hila! mwadamu kwa asili ni mbinafsi, na uamini na kupendelea cha kwake au anachokifahamu.

Hali ya udini ikiendelea kama hivi, ni jambo la muda tu kabla hatujatumbukia kwenye vita kali ya kidini.

Vita ya kikabila, kindugu etc ni ngumu kutokea kwa hali iliyopo.

kifanyike nini?

- Zipunguwe nafasi za kuteuliwa karibu zote, ziwe nafasi za kuchaguliwa, kwa kura au usaili. Kwenye usahili dini, kabila na kanda ya msailiwa zifichwe. usaili uzingatie vigezo vya kazi tu

Hili liandane sambamba na

kutengeza na kupitisha katiba mpya itakayovunja nafasi/myanya upendeleo wa kidini, kikabila, kindugu etc
 
Wahenga walisema,Mdharau mwiba umchoma,ilianza mzaa mzaa akakaa kimya,marehemu akatukanwa nchi nzima akakaa kimya,Pengine ilikuwa turufu yake Mwenyekiti,licha ya kwamba yapaswa kuheshimu "privacy" ya familia iliyopatwa na msiba,na pia kutetea heshima ya nchi kwa Marehemu aliyewahi kuwa Kiongozi wa nchi,

Mambo yakahania kwenye dini,akakataa kusalimia Wakristo kwa salamu ya Bwana Yesu asifiwe,au tumsifi Yesu kristo,mtangulizi wake haikuwa shida kwake alisalimia Assalamualaikum,Bwana Yesu asifiwe,Tumsifu Yesu Kristy,akaongezea na salamu za kabila zaidi ya ishirini alianza na amsindile,Subhai takwenya,na makabila mengine thelathini,

Athari yake tumeanza kuiona sasa udini umeingia,mkataba mbovu wa bandari unatetewa na Waislamu na kupingwa na Wakristu,hii ni "nightmare" ambayo hatutaki itokee katika maisha ya Watanzania,lakini yupo aliyekaa kimya matokeo yake bomu linalipuka,

Nini kifanyike,aingie kanisani na kusali nao hao aliokataa kuwasalimia Bwana Yesu asifiwe na Tumsifu Yesu kristo,aingie msikiti asali nao hao na kuwasalimia assalamualaikum,halafu aende bungeni akasalimie Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Kiujumla ninakubaliana na maudhui ya mada yako; lakini sikubali hilo la kujihusisha kwa njia yoyote na hizo dini zote.

Serikali iachane kabisa na huko kujikomba kwa hizo dini, ifanye mambo yake ya kuwatumikia waTanzania wote.

Hizo salamu haziwaongezei chochote waTanzania katika maisha yao.

Kuhusu Samia, amelikoroga sana hili la udini, na halitamwacha salama hata kidogo.
 
Wakuu inasemekana safari unapangwa kwenda Vatican kukutana na Baba mtakatifu Pope Francis


Je kwanini ziara hii inapangwa wakati huu?


Je ziara inalenga kuwaonyesha wawakilishi wa kiroho wa pope Tanzania si kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…