Ijue siri ya kumpata mke au mume mwema

A
Somo zuri katika kipindi na nyakati nzuri.......jambo lolote lazima uwe na mipango madhubuti Ili kuweza kulipata na kulifanya kwa ufasaha, hivyo elimu uliyotupatia ikitumika katika misingi mizuri matokeo huwa bora kwa msaada wa Bwana
AMEN 🙏 na iwe hivyo kwa neema ya Mungu.
 
Ukipata mume au mke sahihi umeyapatia maisha na utakuwa umeishi katika kusudi la Mungu.....
Pin point
 
mada nzuri sana. kama unahitaji la mke, nashauri wewe muombe MUNGU kwa kutumia mistari hiyo ya biblia mfano. Mithali 19:14.

"Nyumba na mali mtu urithi kutoka kwa Babaye lakini mke mweye busara mtu hupewa na BWANA".

Ni vizuri kupata mke ambaye ni mapenzi yake Bwana, na sio wa mapenzi yako. Nadhani ndoa nyingi za kutoka kwa Mungu zina amani.
 
Watu wanaangaika nyie [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ili kumpata mke mwema hakikisha na wewe (Me) una sifa za kuwa mume mwema and vice versa.
 
Labda sijaumbiwa ndoa, wacha nitulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…