Asilimia 95 ya biashara zinazoanzishwa zinakufa ndani ya mwaka mmoja
Asilimia tatu zinakufa ndani ya miaka mitatu
Asilimia mbili tu ndo zinafanikiwa
Kuna sababu kuu tatu zinazoua biashara
1. Kufanya biashara za kuigana bila kufanya utafiti wa kutosha
2. Kudharau technologia unakuta mtu anafungua biashara anasubiri tu wateja wajilete wenyewe
3. Ujuaji (watu hawataki kijifunza wanakimbia kufungua biashara kisa tu wamepata hela)
4. Kuuza bidhaa nyingi tofauti kwa wakati mmoja, tafuta bidhaa moja komaa nayo
Kuna sababu nyingine nyingi sana
Usiache kujifunza