Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Hakika. Unadhani tumbo joto mchezo Swahiba. [emoji3][emoji3][emoji3]
Yah. Kweli kabisa.Ndio washalikoroga,inabidi walinywe tu
Je saoura 1-0 Al ahly dkk 70' Hawa sio wabovu walizidiwa na mnyama mkaliJs saoura vs Al ahly Leo...mtaona Kama wale wahindi au walizidiwa na mnyama...Al ahly Leo anakufa,kajitahd kapata sare
Sent using Jamii Forums mobile app