Ijue Toyota Coaster new model Fourth Generation

Hii daladala Kwa Mpalange inafikaje, KYJ Jelly au Baby Jelly?
 

Hata Mbeya - Tunduma zilikuwepo
 
Ni USD 135'000/ Hadi 139'100/-
Exchange rate ya leo ni 2319.00
Hivyo Basi, kwa hela ya Tanzania ni Kati ya 313,065,002.61 na 322,572,902.69
Happy hujaweka gharama za kuipandisha melini, bima, ushuru wa bandari na Kodi mbalimbali
Hizo si bei za Yutong mkuu?

Au ulisoma vibaya?
 
Mkuu, marekebisho kidogo. Kuna baadhi ya engine hapo haziko sokoni siku nyingi saana. Pia 1HZ-T haijawahi kutengenezwa. Ni 1HD-T ambayo ndio turbocharged 1HZ. Pia iliacha kutengenewa 1995 ikawa replaced na 1HD FT ambayo baadae ikaja 1HD FTE. 1HZ ndio inapeta bado mpaka sasa.

Sasa hivi engine common kwa Toyota Coaster ni N04C ambayo ina cc4000 ni turbocharged inatumika saana kwa masoko yanayobana saana mambo ya emission, na 1HZ kwa masoko kama yetu.
 
Huu uthibitisho wa Nissan Civilian ni gari mbovu, au Mitsubishi Rosa sio imara mmeutoa wapi?
Sidhani kama amesema ni mbovu. Ameongelea suala la bei tu. Sema kwa uzoefu wangu, Civilian hasa za kuanzia 1999 zinachoka haraka zikitumika kwa shughuli ya daladala kulinganisha na Coaster. Pia upatikanaji wa vipuli vya Coaster ni rahisi zaidi kuliko Civilian
 
That's why tuko hapa kurekebishana ongeza maarifa hommie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…