Ijue Toyota Coaster new model Fourth Generation

Sorry mkuu hakuna injini ya 1hz-t toka kiwandani ila kuna 1hz hiyo t imesimama kama kiwakilishi cha turbo na kikiwa kwenye 1hz lazima kuna modification imefanyika.
 
NO4C iko vizuri sana japo haiwezi izidi 1hd-fte kwa mwendo na NO4C imetengenezwa na kampuni ya HINO ambayo kwa sasa inamilikiwa na TOYOTA,kama wameacha kuzalisha 1hd-fte wameninyong'eza maana ni very powerful hata land cruiser 1hz 70 series(mkonga)haifuati.
 
Mkuu umeisahau injini moja matata 12h-t iliishia kwenye box body deluxe.
 
Kweli. 1HZ haitii mguu kwa 1HD FTE kwa upande wa nguvu. Kwenye Coaster zenye N04C kitu kinachoudhi ni hiyo DPF waliyofunga. Ikijaa gari linaishiwa nguvu kabisa. Sasa sisi tunaonunua magari used, tunapata tabu sana. Maana unakuta imekaribia kujaa.
 
Kwa kweli sijawaelewa kabisa kuachana na 1hd-fte!nasikia hata LC 200 V8 wameachana nazo zinazokuja zitakuwa V6
 
Hp halali ni zipi.??
 
Iko hivi ...1hz ilipendwa sababu ya ugumu wake uimara nk,,ila sio powerfull hivo ikawa inahitaj extra power while maintaining same displacement and no of cylinder...ila 1hz haikuwa na block size ya kutosha hivo kuibust sana unaeza ipasua hivo ikabd watengeneze ingne ngumu zaidi ila ujazo ule ule ndo ikaitwa 1hd..kwa hio hakuna 1hz t
 
Kwa kweli sijawaelewa kabisa kuachana na 1hd-fte!nasikia hata LC 200 V8 wameachana nazo zinazokuja zitakuwa V6
Powered by mazda 3.3L 6cyl ..

Thou power zinafanana ila kuacha ile 4.5L v8 single turbo yenye 202hp au twin turbo yenye 269hp sijapenda kabisa

Zile mlio zina raha yake
 
Powered by mazda 3.3L 6cyl ..

Thou power zinafanana ila kuacha ile 4.5L v8 single turbo yenye 202hp au twin turbo yenye 269hp sijapenda kabisa

Zile mlio zina raha yake
Hivi NO4C na 1HD ipi iko vizuri kimwendo,naona ROSA 4M inaelekea kukosa mpinzani kama coaster wataachana na 24!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…