Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
- Huenda ukiulizwa kuhusu Filipino utamtaja Manny Pacquiao, Neno Philipine linatokana na Mfalme Philip wa Uspanish (King Philip) aliyewahi kuishi kwenye viswa hivyo na kuzaana, wafilipino wengi wana asili ya Uspain -The islands were dubbed "the Philippines" after King Philip II of Spain.
- Ufilipino ndio nchi inayokabiliwa na hatari kubwa ya kukumbwa na vimbunga vya Kitropiki kote ulimwenguni. Kimbunga Haiyan ni mojawapo ya majanga makubwa zaidi ya asili kuwahi kuikumba Ufilipino, lakini siyo janga pekee, nchi hiyo ya Kusini mwa Asia iko katika eneo linalokabiliwa na kitisho kikubwa cha vimbunga.
- Unataka Kusheherekea sikukuu ya Noeli hadi ukinai? Ufilipino siku ya Noel (Chrismass) Husherekewa tangu Septemba Mosi hadi Januari Mosi na ndiyo sherehe ndefu kuliko zote duniani kusheherekewa na nchi moja
- Ni nchi ya pili kwa ukubwa wa visiwa duniani (archipelago) NCHI HII INA VISIWA 7,500 na kati ya hivyo ni visiwa 200tu ndivyo hukaliwa na watu ilihali visiwa 5000 bado havijaewa majina.
- Asilimia 11 ya Raia wa Ufilipino wanafanya kazi ughaibuni, ukweli ni kwamba Filipino ndiyo nchi inayoongoza kutoa wauguzi wengi duniani yaani 25% ya wauguzi wote duniani wanatoka Ufilipino, uwapo Marekani, ukiacha wachina, Wafilipino wanafuatia kwa wingi wa Wahindi Kiasili waliopo USA
- Filipino inaongoza kwa nazi duniani ikiuza wastani wa tani milioni 20 za nazi kwa mwaka
- Kuna utititiri wa Wafilipino kwa idadi ya watu, mnamo mwaka 2014 walifikisha mtoto wa milioni 100 duniani na ni nchi ya 12 kwa idadi ya watu duniani
- Bendera ya Ufilipino inatakiwa kuwekwa kwa umakini mkubwa sana, kwa sheria za Philipine ni kosa kubwa kuigeuza bila muktadhawa wakati husika kwani Bendera ya nchi hiyo inaweka tofauti wakati wa amani na wakati wa vita
- Kusanyiko kubwa zaidi la kidini lilifanyika mnamo mwaka 1995 ambapo Papa John Paul II alikutanisha wakristo zaidi ya milioni 5.....kutokana na asili ya Uspain zaidi ya 90% YA Wafilipino NI WAKATOLIKI.
- Ni nchi tata sana kwa viongozi kupinduliwa kutokana na kujisahau waingiapo madarakani. Kama unamkumbuka Ferdinand Marcosi aliyeingia madaakani akiwa Mlokole na kula bata Ikulu kama atakavyo, Mkewe Imelda anasaidkiwa kuwa na pea 3000 za viatu yaani akivaa kila siku anaweza kumaliza mwaka HAJAVIMALIZA, As first lady of the Philippines for more than 20 years, Imelda Marcos was known for her extravagant and opulent lifestyle, including her special love for shoes.... When protestors stormed Malacanang Palace, it was famously discovered that more than 2,700 pairs of shoes had been left behind in Imelda's ... Imelda Marcos' legendary 3,000 plus shoe collection destroyed by termites, floods and neglect | Daily Mail Online
- Ni nchi yenye malaya wengi duniani walio ughaibuni wakikadiriwa kuwa zaidi ya LAKI NNE wanaifanya biashara ya ngono wengi wao wakwa kati ya miaka 15 hadi 20 ingawa wapo walio chini ya miaka 11 pia -It has the fourth largest number of children who are prostituted in the world
- Social media is important to Filipinos. The Philippines is now considered the text capital of the world. With more than 450 million SMS messages sent by the residents daily, they surpass the daily texts sent in Europe and the U.S. combined.