Ijue Ufilipino kwa Uchache (Philipine)

Huwa tunawaita Philo na kilugha chao cha TAGALOG basi wanaongea English kama ya Nigeria khikhikhikhii
 
Hiyo 8 ni kitu cha kawaida kwa nchi nyingi duniani hata Zanzibar inaonesha kwenye kile kibendera kidogo kuwa kimegeuzwa juu chini kumaanisha mapinduzi
 
13 Wanawake wao wanaongoza kwa Kuwa K ndogo sababu pekee ni kuwa wanaume wa huko kwao 90% wana viba100.
Pia mashoga wengi wanapatikana hukoooo.......
Mashoga wapo dunia nzima tofauti ni kuwa ufilipino wanawachukulia kama sehemu ya jamii na hawawabagui
 
Hawana haja na misaada hao, unadhani ni sisi tunaolialia kila siku.
 
13 Wanawake wao wanaongoza kwa Kuwa K ndogo sababu pekee ni kuwa wanaume wa huko kwao 90% wana viba100.
Pia mashoga wengi wanapatikana hukoooo.......
Kha! kha!, weee jamaa, mimi simo kabisa.
 
Ni nchi inayoongoza duniani kwakua na wafilipino wengi nje ya nchi ni zaidi watu milioni kumi na nne, 14.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…