Ijumaa inahusiana vipi na ombaomba?

Ijumaa inahusiana vipi na ombaomba?

Mkimuyangu

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2022
Posts
1,054
Reaction score
1,947
Mbona ombaomba wengi nimekuwa nikiwaona siku za Ijumaa wakipita wakiomba, sijawahi kuwaona Jumamosi au Jumapili.

Na vilevile nimekuwa nikiwaona unapoanza mwenzi Mtukufu wa kufunga wa Waisilamu na Idd lakini siyo kipindi cha mfungo wa pasaka au kalibu na X-Mas!

Tuchangie kwa upendo.
 
Ijumaa ni sikukuu kwa waislam na husali pamoja na tunapotoka tunatoa sadaka kwa wanaohitaji
Sadaka hutolewa kama unacho hivyo unaweza kuwapa wanaohitaji siku yoyote ile pia
 
Mbona ombaomba wengi nimekuwa nikiwaona siku za Ijumaa wakipita wakiomba,sijawahi kuwaona jmamosi au jumapili,na vilevile nimekuwa nikiwaona unapoanza mwenzi Mtukufu wa kufunga wa Waisilamu na Iddy lakini siyo kipindi cha mfungo wa pasaka au kalibu na X-Mass?tuchangie kwa upendo
Ni wazi kwamba Dini ya wenzetu ni wa karimu wenye kupenda kila mtu afurahie maisha, ni Dini ya vitendo sio ya maneno, kukemea mapepo na kunena kwa vi lugha, kwa hilo omba omba wengi wanajua hilo, nashangaa kama wewe hulijui
 
Ni siku yao rasmi, kama wanavyoomba tende na heruwaa.
 
Back
Top Bottom