IJUMAA & JUMAMOSI SPECIAL: Tuchezeni mchezo wa masomo kwa kumtag member aje akujibie maswali yako hapa.

DaJane

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
223
Reaction score
622
Tuchezeni mchezo wa maswali.

Toa swali lolote kati ya Hisabati, Kiingereza au Kiswahili kisha mtag/m-mention member yeyote utakayependa aje akujibie swali lako, nae akishakujibu atatoa swali la kwake na kum-tag/mention member yeyote atakayependa aje amjibie la kwake.
Iwapo hataliweza swali lako, atamtag member mwingine aje amsaidie kujibu.
Akikosa, anaejua atakuja kumsaidia.
Karibuni.

Somo: Kiswahili
Taja aina saba za maneno yanayopatikana katika lugha ya kiswahili.
Shunie anijibie
 
Na nilivyo bashite sasa

(1)Nomino
(2)Vivumishi
(3)Kiwakilishi
(4)Vitenzi
(5)Vielezi
(6)Viunganishi
(7)Vihisishi
 
Mlete basi nyumbanii,nimpoze...
No problem ...

She will be under care its just an effect of prostaglandin

Pyrogens wame raise set point ya body temp yake ... Nimempa ant pyrogens
Maana ... Moja ya mechanism ambayo mwili wake unafanya ni kushusha hiyo set point

So onset of fever

.... Nakuletea swalehe ...

Vicky is my heart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…