Ijumaa kareem

Nigendako

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Posts
23,296
Reaction score
122,437
Hakuna siku inayofahamika zaid kama siku ijumaa,, hata kama ulikuwa umesahau Leo siku gani..
Kwanza ukiamka tu ukiingia WhatsApp,Facebook,Instagram unakutana na status hz

Ijumaah Kareem,, Ijumaah njema zikifatiwa na picha za wadada wamevaa hijab, Nikab Za hatari utadhan tupo Hijja, wakaka wamevaa balaghashia hata ya mufti mkuu inasubiri

Baada ya masaa matano,, ukipitia kurasa zao unakutana na status hz
One for the road At Kona Pub,,
Weekend mood bata Batani,,

Mwisho zaidi utachoka pale unapoona mtu kapost halafu kaandika hv,,, Bia ni Kitimoto[emoji28] [emoji28] [emoji28] ,,,,

Ijumaa Kareem,,
 
"Ijumaa Kareem" sio neno sahihi sijui limetoka wapi?

Ijumaa njema inapendeza au Juma'a Mubarak kwani Kareem ni moja ya majina ya Mwenyezi Mungu
Wabillah Towfiq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…