Ijumaa namkaribisha mwana jf dar

Huyo mtu jina lake la zamani ni Kunduva [emoji23][emoji23][emoji23]
Jf inafikirsha sana.... tehteehhh [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
UPUMBAVU huo, karibisha mikaka ya kisukuma, hamna romance Wala nini, Ina pump masaa Tisa non stop, likimaliza kazi unakuwa umeshaingia menopause

Aahahahhahahahahahahahaaaa
Bujii afya yangu si nzuri leo ila umenipa cheko pana hadi nimeogopa nisije nikadondoka.

Nimepata taswira mishindo inayosababisha menopause aahahahahahahahhahahahahaahahahahaa Bujii naumwa mwenzio nionee huruma mbavu zangu eeheheh.
Ulivyofikiri hata ukaandika haya maneno, umenikumbusha huyu mtu, GuDume

Msalimu sana ukimuona.
 
Huyu mdada tulijuana humu humu
Hajawai kufika DSM
Amepata likizo ya week so ameniomba aje dar for a week
Karibu sana

Hahaahhhaaa baada ya kupitia comments za wachangiaji, nikakumbuka kipindi flani wana JF wengi walikiwa wanasema wewe ni wa kiumeni..... Ati mwandiko wako.... Aahahahahahha watu wachokozi.

Mwaya mie nawatakia mapumziko mema na mgeni wako. Usiache kumpeleka Coco beach akale mishkaki ya nundu.

Akitaka beach party za usiku usiache kumpeleka beach za kigamboni.... Zinabamba sana.

Enjoy and have all the fun!!
 
Siku za nyuma alikuwepo ndyoko na General Galadudu, ni sooo
 
Huyu mdada tulijuana humu humu
Hajawai kufika DSM
Amepata likizo ya week so ameniomba aje dar for a week
Karibu sana
Week 2 zijazo na mie ntapata likizo ya kuja Dar nnaomba uje unipokee ikishindikana mtume Mzigua90 maana ntakuwa Jogoo mgeni kwenye jiji lenu
 
Kasie mamie.. mimi mzima bukheri wa afya. nashukuru kwa kunikumbuka. uhali gani huko uliko bibie?nini kimekusibu umepotea kama mizizi ya mawe...
 
Kasie mamie.. mimi mzima bukheri wa afya. nashukuru kwa kunikumbuka. uhali gani huko uliko bibie?nini kimekusibu umepotea kama mizizi ya mawe...

Nimefurahi kukuona hapa, sijambo japo afya imetetereka kidoogo.

Nilimiss taswira yako... Macho yako changanya na upara, mwanya na hilo tabasamu....

Majukumu yananiweka mbalina JF ila nipoo, tusipoteane hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…