mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
Chiti Chati
sema hakya mungu...jamani hii kitu ni siriaz
Wakuu,
Hayawi hayawi yamekuwa,
Ijumaa ndo imewadia,
Na kwa kuwa wikiend hii imenikuta nikiwa huku ugenini,
basi leo natarajia kuwemo ndani ya Hotel de Continental,
Pale kwenye kanga moko.....
Mwana jf/mmu yeyote anayetarajia kuwepo pale leo basi anicheki kwa pm kuanzia sasa,
Mwisho wa pm ni 20h00 leo.
Karibuni sana watumishi wa bwana.
sema hakya mungu...
nipo siriaz ila pm sikujui mkuu...kama upo siriaz nirushie pm
Duu haya bana kanga moko....kweli tuje??/
Ndio wapi huko...........Mie niko huku Kazimzumbwi aisee.................
sema hakya mungu...
Kaonane na wana JF wenzako pale British Council
Kaonane na wana JF wenzako pale British Council