ijumaa reminder

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,081
Reaction score
4,224
leo katika hotuba ya Ijumaa pande za Al masjid Manyema tarehe 27.09.2024 sawa na Rabil 24 1446 hijri Sheikh Jongo ametoa nasaha mubashara kabisa.
akigusia na kuwausia waumin wa Dini ya Kislamu kushikamana na Tunu ya Taifa nayo ni AMANI AMANI AMANI.
Sheikh Jongo amesema watanzania tuitunze amani ni wala tusidanganyike na wanaotaka kutawala kwa kuchochea machafuko na maandamano yasikokuwa na tija.
Sheikh kausia sana hawa wanaojifanya kuhamasisha maandamno ni wa kugopwa kama ukoma maana na wao hawana lolote isipokuwa tamaa ya madaraka. kama wanaitakq nchi waitafute kidemokrasiq kwenye sanduku la kura. sheikh kakukmbusha namna amani inavyokuwa na thamani akikunbusha mnamo mwaka 1964 namna kulivyotokea joto kidogo dar es salaam na ilikua hakuna kutoa pua nje je maisha hayo ndio tunayataka.
nikiripoti hapa al Manyema masjid.
naona tanpol hawajakaa kinyonge guard kila kona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…