Iker Casillas atangaza kuwa shoga

Leo wameweka mapenzi yao hadharani

Hivi ukiachana na habari ya dini,nini agenda nyuma ya kampeni za kuutangaza ushoga kuonekana kuwa kitu halali?
 
Ameeona wadada wanafaidi sana wanavyochomekwa dudu nae kaamu alowekwee...
 
Hawa jamaa chama cha mashoga wanafanya kama endorsement sasa wanataka hili jambo lionakane la kawaida sasa kama shoga unajitangaza ili iweje? Hawa jamaa shida yao kubwa sisi wengine tulione hili ni jambo la kawaida sana inawasumbua sana jamii zetu hawalikubali hili kuhalalishwa hata kama lipo ni kama wezi wapo lakini hatufanyi wizi kuwa ni halali. Wamekuwa na nguvu na ushawishi mkubwa sana na wanatumia nguvu kubwa na pesa lakini naamini sisi hatuwezi kuingia katika ujinga wao. Mambo ya binafsi yabaki kuwa ya binafsi. Washenzi sana hawa watu wana nia mbaya sana kuharibu kizazi chetu na tamaduni zetu kwa bahati mbaya hata mipira wamekuwa wanalivalia njuga kuli promote bila kujali kuna wengi tu washabiki na wanalipinga hilo.
 
Na michuano ya Kombe la Dunia ipo karibu kuanza tutasikia mengi sana toka kwa hawa jamaa,
Hii yote kuaminisha umma ili wapate uungwaji mkono.

Mambo ya hovyo sana yanaikuta familia ya Mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…